byabatos
Member
- Aug 15, 2016
- 81
- 64
Ndo watupe detail zote ndege aliyokua nayo na posho kiasi gani akipatikana wanatoa make ni muhimu sana kwaoKwa kawaida hawez kuwa pekee yake ....!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo watupe detail zote ndege aliyokua nayo na posho kiasi gani akipatikana wanatoa make ni muhimu sana kwaoKwa kawaida hawez kuwa pekee yake ....!
uta
Hivi JPM akizipata hizi atasafiri kweli ?miaka 40 kabla ya kuwa raisi? basi atakua kwa washkaji hapo Massachusetts
Hapo lazima marekani na U.N wawajibishwe....!aisee taifa la ovyo sana hlo, yn rais anapotea kirahisi hvo kweli, maafisa usalama wa taifa hlo wanamaliza ugali wa nchi bure yn.
Mwenzenu kapata mchongo wa katarasi ya ukimbizi ndo kazamia hivyo,
Mmmh ! Kama ni kweli basi hapo U.N hawatamuona Jpm.Kama ikiwa kweli basi jpm hawezi kusafiri nje ya nchi kamwe
Marekani inahusikaje hapo sasa.Hapo lazima marekani na U.N wawajibishwe....!
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] usinivunje mbavuuuhhhhahaah kupatwa kwa Muthalika
[emoji23] [emoji23] ni kwa nini umewaza hivi mkuuHivi JPM akizipata hizi atasafiri kweli ?
Na mlinzi nae,msaidizi je!Ni yeye peke yake au na timu yake?