Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatuna bajeti ya uchaguzi sasa hivi[emoji23] [emoji23] ni kwa nini umewaza hivi mkuu
Bilashaka jamaa atakua anakula bata sehem tumiaka 40 kabla ya kuwa raisi? basi atakua kwa washkaji hapo Massachusetts
Alienda kuhudhuria kikao cha UN nchini marekani, kwa vyovyote vile wanajua yuko wapi.Marekani inahusikaje hapo sasa.
Kwa nn iwe siri ?Raisi Chakwera Mutharika ana watoto wakubwa na wajukuu huko Marekani, hivyo amejiongezea muda wa kukaa huko akifanya "bonding" na wajukuu.
Atarudi Malawi very soon.
😀😀😀
Kwa nn iwe siri ?
Trust me! Wataturudishia huyu jamaa baada ya masaa mawili tu ya kazi...!Kudumisha ujirani mwema, tuwapelekee Le Mutuz Baharia awe rais mpaka mr president atakapo rejea.
You made my day mkuu na mshahara watampa baada ya masaa mawili ya kazi😀😀😀Trust me! Wataturudishia huyu jamaa baada ya masaa mawili tu ya kazi...!
Le mutuz huwa hataki ujinga kabisa.
Mimi naogopa wanaweza kutudai fidia ya hayo masaa matatu kwa kuwapelekea mtaalamu mwenye digrii tatu ambae hataki ujinga! Ahahaah!You made my day mkuu na mshahara watampa baada ya masaa mawili ya kazi😀😀😀
Kuna wakati fulani Mkapa aliwahi kuomba lift kwenye ndege ya rais wa Marekani, halafu ndege yetu ikalazimika kufuata ikiwa tupu hadi MalawiRais kapotea na ndege yake!
😀😀😀😀Mimi naogopa wanaweza kutudai fidia ya hayo masaa matatu kwa kuwapelekea mtaalamu mwenye digrii tatu ambae hataki ujinga! Ahahaah!