Tetesi: Rais wa Malawi hajulikani aliko

Tetesi: Rais wa Malawi hajulikani aliko

Hapo akianga kuwa harudi tena
Malawi-576131.jpg
 
Raisi Mutharika ana watoto wakubwa na wajukuu huko Marekani, hivyo amejiongezea muda wa kukaa huko akifanya "bonding" na wajukuu.

Atarudi Malawi very soon.

😀😀😀
 
Raisi Chakwera Mutharika ana watoto wakubwa na wajukuu huko Marekani, hivyo amejiongezea muda wa kukaa huko akifanya "bonding" na wajukuu.

Atarudi Malawi very soon.

😀😀😀
Kwa nn iwe siri ?
 
Sidhani kama ni kweli yaani mkuu wa nchi apotee for few weeks ago then leo ndo waanze kumsaka
 
Kwa nn iwe siri ?

Haijawa siri na kwa kuwa yupo kule pia anatumia muda wake kujiangalia afya na mengine.

Inajulikana ana watoto wanaoishi kule na wana wajukuu zake, hivyo ni hilo la kwanza au hili la pili.

Haya yote yanafanyika kwa kuzingatia makamu wa rais yupo.

Kama sheria inaruhusu kuelezea alipo raisi basi wangefanya hivyo.

Hivyo access ya info imekuwa denied.
 
Hivi yule Rais mwanamke alishamalizaga muda wake eee....mi nilidhani yule aliyepotea ningekua na jibu la kuwapa
 
Back
Top Bottom