Rais wa Marekani alaumiwa kwa kuwaaibisha viongozi wa Afrika

Umechambua vizuri kabisa, sijui kwa nini hatupendi kujifunza.
 
Rais wa nchi Yako alipandishwa "Kipanya" alipoenda Uingereza kushiriki mazishi ya malkia ila aliyefanya hivyo hakuwa Trump.

Kwa haya wanayotufanyia raia wao wanadtahili hayo yote.
 
Unaongea kiingereza kizuri, umejifunza wapi? Liberia ee!?. Asanteni kwa kuja, muda umeisha siwezi kuwasikiliza kuna mahali nawahi kwenda huko
Ingetakiwa ayatemee mate kabisa. Tunakuomba trump siku nyingine wakija hususani Mama Abdul, muwashe vibao na aoshe vyombo vya chakula wakati wa mkutano.

Wanashindwa kujenga nchi zao. Wanaendeleza ufisadi na uroho wa madaraka alafu wanakuja kujibebisha kwa mabeberu.
 
Unapoikacha lugha yako na kukimbilia lugha za wageni matokeo yake ndio haya.

Unaanzaje kumuamini Mchina anayeongea Kifaransa?
Liberia kiingereza ndio lugha yao. Kumbuka hao ni Wamarekani/Waafrika walioletwa Afrika baada utumwa kupigwa marufuku
 
Mamaetu akienda huko.... Ngoja mwanasheria wangu arudi
 
Nilitaka kushangaa yaani Trump asioneshe dharau wakati ndiyo tabia yake ya asili.

Halafu Trump hawadharau marais wa Afrika tu, bali kuna uwezekano rais yoyotw akifika pale White House inategemea Trump ameamkaje. Mbona Zelensky alinyambuliwa na yeye sema Zele mbishi na yeye!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…