Ndombwindo
JF-Expert Member
- Nov 23, 2013
- 1,387
- 2,085
Bahati yako ipo njiani, muhimu ni kumuombea tu baba Putin amwage mboga, tushuhudie live mtanange wa mafahari…Hii kauli ya biden nikiunganisha na alichowahi sema Trump, napata picha kwamba Marekani ana Mdudu hatari sana! hatari sana kwamba atakayefanyiwa wa kwanza ataandika historia mpya hapa ulimwenguni. Nasubiri kwa hamu nishuhudie hilo pigo katika enzi za uhai wangu.