Rais wa marekani amempa onyo kali raisi wa Russia ,kwamba kamweasijaribu kutumia silaha za kemikali

Rais wa marekani amempa onyo kali raisi wa Russia ,kwamba kamweasijaribu kutumia silaha za kemikali

Huyu jamaa ana mdudu zaid ya nyuklia ndio maana atakayejichanganya atakua wa kwanza kutolewa bikira
Itakuwa zaidi ya Nyukilia. Maana ata hapo zamani, kipindi vita ya pili inarindima, walikuwa wanamwambia Japani " chonde chonde acha vita la sivyo tutakufumua kwa silaha kali" Japani akawa haelewi. Kilichomkuta kila mtu anajua.
 
Rais wa marekani amempa onyo kali raisi wa Russia ,kwamba kamweasijaribu kutumia silaha za kemikali au maangamiz makubwa maana itageuza mwenendo mzima wa hii Vita.
Kumbuka US siyo mandonga huwa akikuonya ukikaid unapata haki yako.Biden ameongeza kuwa ikiwa Russia itakaid basi dunia itashuhudia mambo mazito
US President Joe Biden says that Russian President Vladimir Putin would change the face of the war if he would consider the use of chemical or tactical nuclear weapons.

“Don’t. Don’t. Don’t. You will change the face of war unlike anything since World War II,” Biden said during a interview with CBS news.

He was also asked what would be the consequences if Putin crossed that line.

“You think I would tell you if I knew exactly what it would be? Of course, I’m not gonna tell you. It’ll be consequential,” the president said. “They’ll become more of a pariah in the world than they ever have been. And depending on the extent of what they do will determine what response would occur,” he added.
Source; Aljazeeera
China walipigwa mkwara kama huu walikuwa wadogo pamoja na mbwembwe zao.
 
Ni kweli maana U hawezi kuua nzi kwa nyundo, Russia sio saizi ya Us , hivyo saizi ya Russia ni Ukraine.
 
Sasa hapo kuna shida gani kama mtu ana bargain POWs wake watoke?.

Bado anahitaji wale Azov watoke.
Mshaambiwa binadamu na mbolea wapi na wapi............acha watulie wageuzwe mbolea na wao.........
 
Back
Top Bottom