Rais wa marekani amempa onyo kali raisi wa Russia ,kwamba kamweasijaribu kutumia silaha za kemikali

Bahati yako ipo njiani, muhimu ni kumuombea tu baba Putin amwage mboga, tushuhudie live mtanange wa mafahari…
 
Hata Mimi mkuu . Achana na USA . RUSSIA ANA MACHUMA YA KIZAMANI SANA .
 
Huyu jamaa ana mdudu zaid ya nyuklia ndio maana atakayejichanganya atakua wa kwanza kutolewa bikira
 
Wauane huko huko watuachie Africa yetu!
Yaani kwa mawazo yako unaweza fikiria hivyo?!!yaani USA, na URUSI, Wauane wewe MATONYA, usiathirike?
Haiwezi tokea, lazima uchakae tu.
 
Endeleeni kubwanwaja ila donbass ndo ishapotea hivyo haitarudi Ukraine ng'o!!'
 
Marekani hana uwezo wa kuigusa Russia ataendelea kubwekabeka tu.urusi anauwezo wa kuibadilisha marekani kuwa jangwa.
Na marekani anaweza kuibadilisha Russia kuwa kipere na akakitumbua chap
 
Pro NATO A.K.A WAIMBA TAARABU NA SINGELI... [emoji23]
Kuna waimba singel kuliko Pro Russia kweli. " Demilitalization and Denazification",mkafail,mkahamia Special OP ya 72 hrs, ikafail,mkahamia Kyiv inaenda kuwa majivu baada ya lile li msafara la 60kms mkafail. Atakaeisaidia Ukraine silaha atakiona cha moto,silaha zikapelekwa na Boss wenu akaufyata mkia.Mkahamia Sweden na Finland msithubutu kujiunga na NATO,wakasonga mbele na process za kujiunga na NATO na Boss wenu akaufyata tena and the list goes on.Mlipaswa muwe mmeshatoa kabisa album
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…