Rais wa marekani amempa onyo kali raisi wa Russia ,kwamba kamweasijaribu kutumia silaha za kemikali

Huyu jamaa ana mdudu zaid ya nyuklia ndio maana atakayejichanganya atakua wa kwanza kutolewa bikira
Itakuwa zaidi ya Nyukilia. Maana ata hapo zamani, kipindi vita ya pili inarindima, walikuwa wanamwambia Japani " chonde chonde acha vita la sivyo tutakufumua kwa silaha kali" Japani akawa haelewi. Kilichomkuta kila mtu anajua.
 
China walipigwa mkwara kama huu walikuwa wadogo pamoja na mbwembwe zao.
 
Ni kweli maana U hawezi kuua nzi kwa nyundo, Russia sio saizi ya Us , hivyo saizi ya Russia ni Ukraine.
 
Sasa hapo kuna shida gani kama mtu ana bargain POWs wake watoke?.

Bado anahitaji wale Azov watoke.
Mshaambiwa binadamu na mbolea wapi na wapi............acha watulie wageuzwe mbolea na wao.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…