Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Ndio wanasagwa nishashuhudia case km hizo nyingi, na wakibobea wanatafuta na wao wengine wa kuwafundisha..!!Yaani kwa mfano hao lesbians (wasagaji) wanafanyiwa ukatili gani wakiwa watoto, wanasagwa au?
Hakuna binti anayeibuka ghafla anataka kusagwa bila kufundishwa..!!
Mimi kuna mmoja aliniletea michezo nilikataa sababu nilikuwa binti ambaye tayari nilikuwa na ufahamu vinginevyo ningekuwa mdogo ningeona ni sawa..!!