Rais wa Marekani Donald Trump anatarajiwa kukutana na viongozi kutoka mataifa matano ya Afrika

Rais wa Marekani Donald Trump anatarajiwa kukutana na viongozi kutoka mataifa matano ya Afrika

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Rais Donald Trump wa Marekani atakutana na viongozi kutoka mataifa matano ya Afrika mjini Washington wiki ijayo, kujadiliana 'fursa za kibiashara' kwa mujibu wa Ikulu ya White House

Trump atakutana na viongozi wa Gabon, Guinea-Bissau, Liberia, Mauritania na Senegal kwa majadiliano na chakula cha mchana siku ya tarehe 9 katika Ikulu hiyo

Awali majarida ya Africa Intelligence na Semafor yalikuwa yameripoti kuwaserikali ya Trump itafanya mkutano wa kilele na nchi hizo tano za Kiafrika kutoka tarehe 9 hadi 11 Julai

Afisa mmoja wa Ikulu ya White House amesema Trump anaamini kwamba nchi za Kiafrika zina fursa kubwa za biashara, ambazo zina manufaa kwa watu wa Marekani na washirika wao barani Afrika

Tangu aingie madarakani, Trump amechukuwa hatua kadhaa zinazoathiri mahusiano yake na mataifa ya Kiafrika, ikiwemo kupunguza misaada kwa kiwango kikubwa

===

U.S. President Donald Trump will host leaders from five African nations in Washington next week to discuss "commercial opportunities," a White House official said on Wednesday
Trump will host leaders from Gabon, Guinea-Bissau, Liberia, Mauritania and Senegal for a discussion and lunch at the White House on July 9, the official said

"President Trump believes that African countries offer incredible commercial opportunities which benefit both the American people and our African partners," the official said, referring to the reasons why the meeting was arranged

Africa Intelligence and Semafor reported earlier that the Trump administration would hold a summit for the five countries in Washington from July 9-11
The Trump administration has axed swaths of U.S. foreign aid for Africa as part of a plan to curb spending it considers wasteful and not aligned with Trump's "America First" policies. It says it wants to focus on trade and investment and to drive mutual prosperity

tai.png

​
Source: REUTERS & DW KISWAHILI
 
Vp ushawishi wa Tanzania ki diplomacy umeshuka au tatizo nn?maana enzi za jk ilikuwa marais wa mataifa makubwa wanapishana bongo akina bush ,obama sasa hv imekuwa tofauti hata kualikwa tu mkutano imekua ngumu mabalozi wafanye kazi zao kumsaidia mheshimiwa rais kuitangaza nchi.
 
Back
Top Bottom