Rais wa Marekani Joe Biden akutana na kufanya kikao kizito na Viongozi wa dini ya Kiyahudi Ikulu ya White House jijini Washington

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

AFP__20241007__36JH29M__v1__HighRes__UsPresidentJoeBidenMarksOneYearSinceHamasAttack-640x400.jpg

Taarifa rasmi kutoka Ikulu ya white house

Rais wa taifa la Marekani Joe Biden amefanya kikao na waheshimiwa Viongozi wa dini ya kiyahudi - Judaism

Kikao hicho kilihudhuriwa na watu wachache sana maalumu.

Maelezo zaidi kuhusu kikao nyeti yatatolewa.

Mungu ibariki Israel
Mungu ibariki Marekani

Niwatakie usiku mwema
07dc-prexy-qkpw-articleLarge.jpg
F240929ALA26-640x400.jpg
 
2008 marekani ilipitisha sheria ya kuilinda israel dhidi ya vitisho, wanachotaka kufanya kwa muajemi huenda kitakua na athari kubwa juu ya mustakabali wa israel
 
Wadau hamjamboni nyote?

Taarifa rasmi kutoka Ikulu ya white house

Rais wa taifa la Marekani Mheshimiwa joe Biden amefanya kikao na waheshimiwa Viongozi wa dini ya kiyahudi - Judaism

Kikao hicho kilihudhuriwa na watu wachache sana maalumu.

Maelezo zaidi kuhusu kikao nyeti yatatolewa

Mungu ibariki Israel
Mungu ibariki Marekani

Niwatakie usiku mwema
Hawa viongozi hua wanachukia wanayoyafanya kuna netanyahu mbona nyinyi mashabiki mpo yofauti sana?
 
Mbona kama marekani anainyenyekea sana Israel? Kuna Siri gani hapo?
 
Ana plan zake. Mkuu wanahistoria wanassma kuna kipindi hata iran ilikua imepewa nickname little america. Yani hiko kipindi f16 duniani zilikua zipo nchi tatu tu marekani, uk, na iran

Nimemsikiliza mwanahistoria. Roy Casagranda :American Middle east policy
 
Unaweza kujiuliza why hizi nchi za wazungu wanachukulia kwa uzito sana suala la israel, wanajali sana mambo yake kuliko hata wanavyowajali raia wao.

Imefika wakati kwamba hata kumtusi muisrael ktk hicho nchi haswa USA,UK, France ni kama dhambi au kosa, kwamba hiyo jamii haikosei?

Taifa ambalo nchi kubwa zinavumilia ushenzi wake na udharimu wake bila kufanya lolote na wakizidi kuubariki ushenzi wa hiki kitaifa.

ukienda ndani zaidi unagundua kuwa israel ni man made terrorist country, taifa lililoundwa na hawa wanaocontrol everything hapa dunian, ndiomaana ukiwaongelea vibaya tu wanaruka nawewe.

Bahat mbaya huku ktk nchi za wapumbavu hasa Afrika, hawajui siasa za dunia zinakwenda vipi, wao wanaendeshwa na mihemko ya kidini, kisiasa na kipropaganda kutoka ktk media.

Tumekazana mitandaoni&mitaani kuvurugana na kubishania ugomvi usiotuhusu, kumbe nyuma ya pazia hayo mambo yana plan&agenda zake ambazo zimefichwa kupitia dini&siasa uchwara.

Wakristo kwa waislam mnachoshana bure acheni kulaumiana kuhusu mgogoro wa palestina&israel maana hauwahusu, huo mgogoro umeundwa makusudi kwa malengo maalum, hauhusu dini zaidi zaidi viongozi wenu wapumbavu wa kidini wanawadanganyeni na kuwaingiza mkenge mjihusishe na hiyo migogoro mkidhani inaendana na masimulizi ya dini zenu bandia.

Mnapoteza muda bure mnapoiombea israel/palestina maana maombi yenu ni unafiki, mnawaacha ndugu zenu Congo, Sudan n.k mnakimbilia sehem zisizo wahusu?.

Amkeni enyi vilaza

20241008_163036.jpg
 
Mbona kama marekani anainyenyekea sana Israel? Kuna Siri gani hapo?
Lazima wainyenyekee maana uchumi wa USA kwa asilimia kubwa unashikiliwa na wahuni waliojipa Utukufu dunian wa kuamua mambo yawe vipi.

Utabishana vip na anayecontrol uchumi, media na kila kitu?, karibu kila secta,kampuni na institutes kubwa dunian zinamilikiwa na hao jamaa (wayahudi).

Watu wanadhani kwamba USA inaitetea israel kwa upendo tu, wala hakuna jambo kama hilo, ingekuwa hivyo basi USA ingewatetea raia wake wanaouana nchini mwake kwa umiliki haramu wa siraha, na kukomesha magenge ya uhalifu.

Lkn why israel? Jibu ni kuwa wanapata sababu ya kuicontrol middle east kupitia ilo taifa bandia, wanacontrol muenendo wa resources ya mafuta hapo middle east ambayo kwa asilimia kubwa mafuta hayo yanauzika dunia nzima, kucontrol nguvu ya kidola dhidi ya upinzani wa mwarabu&muajemi.

pia israel kuwepo hapo ni faida kwa maendeleo ya kipropaganda kwa kuwacontrol slaves wao ambao bado wanaamini ktk dini haswa zinazohusiana na chimbuko la ibrahimu.

Kiufupi hao jamaa hawatoondoka hapo leo wala kesho maana plan zao ni kuongeza ukubwa wa nchi yao kwa njia yoyote ile, na sasa ni mwanzo tu, wataibua kila chokochoko mpaka watimize watakalo, na wanaweza maana hakuna mtetezi dunian, wala hakuna wa kuwapinga kivitendo, zaidi ya unafiki wa wanasiasa.

Israel ni taifa bandia la baadhi ya makabila ya wazungu waliohamisha jamii zao kutoka ulaya kuja Middle east kwa madhumuni yao, hawahusian na biblia wala quran, msidanganywe.
 
Wadau hamjamboni nyote?

View attachment 3120399

Taarifa rasmi kutoka Ikulu ya white house

Rais wa taifa la Marekani Joe Biden amefanya kikao na waheshimiwa Viongozi wa dini ya kiyahudi - Judaism

Kikao hicho kilihudhuriwa na watu wachache sana maalumu.

Maelezo zaidi kuhusu kikao nyeti yatatolewa.

Mungu ibariki Israel
Mungu ibariki Marekani

Niwatakie usiku mwema
Inawezekana wakawa na ujumbe mzito kutoka kwa Mungu. Historia inaonyesha kuwa Mungu alikuwa anawasiliana mara kwa mara na hawa jamaa tangu enzi hizo za Musa, Daniel, Ibrahim, Nuhu, Shadrach, Meshack na Abednego, Tobia na Tobiti, Yusuph, Ayubu, Maria mama wa Yesu nk.

Hivyo si ajabu hata leo anaendelea kuwasiliana nao , NA HII SIRI MAREKANI ANAIJUA na ndio maana lolote analotaka Myahudi lazima alifanye.
PIA NDIPO ZILIPO BARAKA ZA MAREKANI HADI KUFANIKIWA KUWA TAIFA KUBWA LENYE NGUVU NA MAENDELEO KULIKO MENGINE.
 
🤣🤣🤣🤣 Tobaaaaa
 
Unaweza kujiuliza why hizi nchi za wazungu wanachukulia kwa uzito sana suala la israel, wanajali sana mambo yake kuliko hata wanavyowajali raia wao.

Imefika wakati kwamba hata kumtusi muisrael ktk hicho nchi haswa USA,UK, France ni kama dhambi au kosa, kwamba hiyo jamii haikosei?

Taifa ambalo nchi kubwa zinavumilia ushenzi wake na udharimu wake bila kufanya lolote na wakizidi kuubariki ushenzi wa hiki kitaifa.

ukienda ndani zaidi unagundua kuwa israel ni man made terrorist country, taifa lililoundwa na hawa wanaocontrol everything hapa dunian, ndiomaana ukiwaongelea vibaya tu wanaruka nawewe.

Bahat mbaya huku ktk nchi za wapumbavu hasa Afrika, hawajui siasa za dunia zinakwenda vipi, wao wanaendeshwa na mihemko ya kidini, kisiasa na kipropaganda kutoka ktk media.

Tumekazana mitandaoni&mitaani kuvurugana na kubishania ugomvi usiotuhusu, kumbe nyuma ya pazia hayo mambo yana plan&agenda zake ambazo zimefichwa kupitia dini&siasa uchwara.

Wakristo kwa waislam mnachoshana bure acheni kulaumiana kuhusu mgogoro wa palestina&israel maana hauwahusu, huo mgogoro umeundwa makusudi kwa malengo maalum, hauhusu dini zaidi zaidi viongozi wenu wapumbavu wa kidini wanawadanganyeni na kuwaingiza mkenge mjihusishe na hiyo migogoro mkidhani inaendana na masimulizi ya dini zenu bandia.

Mnapoteza muda bure mnapoiombea israel/palestina maana maombi yenu ni unafiki, mnawaacha ndugu zenu Congo, Sudan n.k mnakimbilia sehem zisizo wahusu?.

Amkeni enyi vilaza

View attachment 3120411
Hao West wote na vibaraka wake wote, Israel ndo Boss wao...
 
Lazima wainyenyekee maana uchumi wa USA kwa asilimia kubwa unashikiliwa na wahuni waliojipa Utukufu dunian wa kuamua mambo yawe vipi.

Utabishana vip na anayecontrol uchumi, media na kila kitu?, karibu kila secta,kampuni na institutes kubwa dunian zinamilikiwa na hao jamaa (wayahudi).

Watu wanadhani kwamba USA inaitetea israel kwa upendo tu, wala hakuna jambo kama hilo, ingekuwa hivyo basi USA ingewatetea raia wake wanaouana nchini mwake kwa umiliki haramu wa siraha, na kukomesha magenge ya uhalifu.

Lkn why israel? Jibu ni kuwa wanapata sababu ya kuicontrol middle east kupitia ilo taifa bandia, wanacontrol muenendo wa resources ya mafuta hapo middle east ambayo kwa asilimia kubwa mafuta hayo yanauzika dunia nzima, kucontrol nguvu ya kidola dhidi ya upinzani wa mwarabu&muajemi.

pia israel kuwepo hapo ni faida kwa maendeleo ya kipropaganda kwa kuwacontrol slaves wao ambao bado wanaamini ktk dini haswa zinazohusiana na chimbuko la ibrahimu.

Kiufupi hao jamaa hawatoondoka hapo leo wala kesho maana plan zao ni kuongeza ukubwa wa nchi yao kwa njia yoyote ile, na sasa ni mwanzo tu, wataibua kila chokochoko mpaka watimize watakalo, na wanaweza maana hakuna mtetezi dunian, wala hakuna wa kuwapinga kivitendo, zaidi ya unafiki wa wanasiasa.

Israel ni taifa bandia la baadhi ya makabila ya wazungu waliohamisha jamii zao kutoka ulaya kuja Middle east kwa madhumuni yao, hawahusian na biblia wala quran, msidanganywe.
Umepuyanga kwa vile una kisirani chako. Israel ni nchi ya Wayahudi, haijawahi kutokea nchi inaitwa Palestina. Ushahidi huu hapa:-
1. Kabla ya Israel kuwekwa pale mwaka 1948 kulikuwa na utawala wa kikoloni wa Uingereza (British Mandate), hii haikuwa Taifa la Palestina

2. Kabla ya Ukoloni wa Mwingereza mwaka 1917 kulikuwa utawala wa Dola ya Ottoman, hii pia haikuwa Palestina
.
3. Mamluks wa kutoka Misri walitawala eneo hilo kabla ya Dola ya Ottoman kati ya mwaka 1249-1517, hii haikuwa Palestina

4. Kabla ya ujio wa Mamluk wa Misri eneo hilo lilikuwa chini ya utawala wa dola ya Kikurdi ya Ayubid-Arab kuanzia 1169-1260, hii pia haikuwa Palestina

5. Kablabya Dola ya Ayubid kukikuwa utawala wa Frankish, hii pia haikuwa Palestina
.
6. Kati ya mwaka 750- 1177 eneo hilo lilikuwa chini ya utawala Umayyad na Fatmid, hawa nao hawakuwa wa Palestina

7. Dola ya Byzantine ilitawala eneo hili kuanzia mwaka 313- 636, hawa hawakuwa wa Palestina

8. Kabla ya dola ya Byzantine eneo hili lilitawaliwa na wa Sassanids kuanzia mwaka 602-628, hii haikuwa Palestina

9. Kabla ya Dola ya Sassanids kulikuwa na Dola ya Byzantine tena, hii haikuwa Palestina

10. Kabla ya Dola ya Byzantine kulikuwa na Dola ya Kirumi kuanzia mwaka 63 BC - 336 AD, hii haikuwa Palestina

11. Kabla ya Dola ya Kirumi kulikuwa na utawala wa Hasmonean kuanzia mwaka 140 BC- 37BC, hawa walikuwa Wagiriki siyo Palestina

12. Kabla ya Hasmonean kulikuwa na Dola ya Seleucid kuanzia mwaka 198 BC- 135 BC, hawa walikuwa Wagiriki siyo Palestina

13. Kabla ya Seleucid eneo hili lilitawaliwa na Dola Alexander The Great kuanzia mwaka 330 BC- 315 BC

14. Kabla ya Alexander The Great eneo hilo lilikuwa chini ya Dola ya Persia kuanzia 545 BCE- 538. BCE

15. Kabla ya Dola ya Persia eneo hilo lilikuwa chini ya utawala wa Dola ya Babylon kuanzia 597 BC- 539 BC, hawa walitoka Iraq ya sasa na hawakuwa wa Palestina

16. Kabla Dola ya Babylon haijaivamia Jerusalem ilikuwa chini ya himaya 2 za Israel na Yuda kuanzia mwaka 722 BC, hizi hazikuwa Palestina

17. Kabla ya Utawala wa Israel na Yuda kulikuwa na utawala wa Israel 930 BC, hii haikuwa Palestina

18. Kabla ya Israel kulikuwa utawala wa makabila 12 ya wana wa Yakobo ambao ndiyo Israel, ndiyo kipindi cha Mfalme Saul, hii haikuwa Palestina.

19. Kabla ya makabila 12 kulikuwa utawala wa dola ndogo ndogo za Caanan, nayo haikuwa Palestina
 
Mbona kama marekani anainyenyekea sana Israel? Kuna Siri gani hapo?
Anaogopa Wayahudi waliotapakaa kote duniani na Marekani

Kwa sababu hiyo anajua fika kwamba, Myahudi huwa haikani damu yake na yupo tayari kuitetea akiwa kwenye taifa lolote

Kuna viongozi wengi tu wapuuzi ambao huuwawa na mkono wa Mayahudi katika nchi zao kwa kuendekeza uadui na taifa la Israel

Hata Ayatollah anacheza na moto

Mayahudi wanaoishi Iran ndio watafanya kazi anayoitafuta
 
Unaweza kujiuliza why hizi nchi za wazungu wanachukulia kwa uzito sana suala la israel, wanajali sana mambo yake kuliko hata wanavyowajali raia wao.

Imefika wakati kwamba hata kumtusi muisrael ktk hicho nchi haswa USA,UK, France ni kama dhambi au kosa, kwamba hiyo jamii haikosei?

Taifa ambalo nchi kubwa zinavumilia ushenzi wake na udharimu wake bila kufanya lolote na wakizidi kuubariki ushenzi wa hiki kitaifa.

ukienda ndani zaidi unagundua kuwa israel ni man made terrorist country, taifa lililoundwa na hawa wanaocontrol everything hapa dunian, ndiomaana ukiwaongelea vibaya tu wanaruka nawewe.

Bahat mbaya huku ktk nchi za wapumbavu hasa Afrika, hawajui siasa za dunia zinakwenda vipi, wao wanaendeshwa na mihemko ya kidini, kisiasa na kipropaganda kutoka ktk media.

Tumekazana mitandaoni&mitaani kuvurugana na kubishania ugomvi usiotuhusu, kumbe nyuma ya pazia hayo mambo yana plan&agenda zake ambazo zimefichwa kupitia dini&siasa uchwara.

Wakristo kwa waislam mnachoshana bure acheni kulaumiana kuhusu mgogoro wa palestina&israel maana hauwahusu, huo mgogoro umeundwa makusudi kwa malengo maalum, hauhusu dini zaidi zaidi viongozi wenu wapumbavu wa kidini wanawadanganyeni na kuwaingiza mkenge mjihusishe na hiyo migogoro mkidhani inaendana na masimulizi ya dini zenu bandia.

Mnapoteza muda bure mnapoiombea israel/palestina maana maombi yenu ni unafiki, mnawaacha ndugu zenu Congo, Sudan n.k mnakimbilia sehem zisizo wahusu?.

Amkeni enyi vilaza

View attachment 3120411
Hao hao wazungu ndo waliowaua sana Wayahudi na kuwanyanyapaa. Ndo maana hata mwaka 1947 waliwasomba kwa treni za diesel na meli kuwa somba kutoka Ulaya na kuwabwaga Palestina.
 
Umepuyanga kwa vile una kisirani chako. Israel ni nchi ya Wayahudi, haijawahi kutokea nchi inaitwa Palestina. Ushahidi huu hapa:-
1. Kabla ya Israel kuwekwa pale mwaka 1948 kulikuwa na utawala wa kikoloni wa Uingereza (British Mandate), hii haikuwa Taifa la Palestina

2. Kabla ya Ukoloni wa Mwingereza mwaka 1917 kulikuwa utawala wa Dola ya Ottoman, hii pia haikuwa Palestina
.
3. Mamluks wa kutoka Misri walitawala eneo hilo kabla ya Dola ya Ottoman kati ya mwaka 1249-1517, hii haikuwa Palestina

4. Kabla ya ujio wa Mamluk wa Misri eneo hilo lilikuwa chini ya utawala wa dola ya Kikurdi ya Ayubid-Arab kuanzia 1169-1260, hii pia haikuwa Palestina

5. Kablabya Dola ya Ayubid kukikuwa utawala wa Frankish, hii pia haikuwa Palestina
.
6. Kati ya mwaka 750- 1177 eneo hilo lilikuwa chini ya utawala Umayyad na Fatmid, hawa nao hawakuwa wa Palestina

7. Dola ya Byzantine ilitawala eneo hili kuanzia mwaka 313- 636, hawa hawakuwa wa Palestina

8. Kabla ya dola ya Byzantine eneo hili lilitawaliwa na wa Sassanids kuanzia mwaka 602-628, hii haikuwa Palestina

9. Kabla ya Dola ya Sassanids kulikuwa na Dola ya Byzantine tena, hii haikuwa Palestina

10. Kabla ya Dola ya Byzantine kulikuwa na Dola ya Kirumi kuanzia mwaka 63 BC - 336 AD, hii haikuwa Palestina

11. Kabla ya Dola ya Kirumi kulikuwa na utawala wa Hasmonean kuanzia mwaka 140 BC- 37BC, hawa walikuwa Wagiriki siyo Palestina

12. Kabla ya Hasmonean kulikuwa na Dola ya Seleucid kuanzia mwaka 198 BC- 135 BC, hawa walikuwa Wagiriki siyo Palestina

13. Kabla ya Seleucid eneo hili lilitawaliwa na Dola Alexander The Great kuanzia mwaka 330 BC- 315 BC

14. Kabla ya Alexander The Great eneo hilo lilikuwa chini ya Dola ya Persia kuanzia 545 BCE- 538. BCE

15. Kabla ya Dola ya Persia eneo hilo lilikuwa chini ya utawala wa Dola ya Babylon kuanzia 597 BC- 539 BC, hawa walitoka Iraq ya sasa na hawakuwa wa Palestina

16. Kabla Dola ya Babylon haijaivamia Jerusalem ilikuwa chini ya himaya 2 za Israel na Yuda kuanzia mwaka 722 BC, hizi hazikuwa Palestina

17. Kabla ya Utawala wa Israel na Yuda kulikuwa na utawala wa Israel 930 BC, hii haikuwa Palestina

18. Kabla ya Israel kulikuwa utawala wa makabila 12 ya wana wa Yakobo ambao ndiyo Israel, ndiyo kipindi cha Mfalme Saul, hii haikuwa Palestina.

19. Kabla ya makabila 12 kulikuwa utawala wa dola ndogo ndogo za Caanan, nayo haikuwa Palestina
Sasa mkuu kwanini wanawaondoa wale wapalestina? Maana kama nchi si wamepata?
 
Back
Top Bottom