#COVID19 Rais wa Marekani, Joe Biden akutwa na maambukizi ya COVID-19

#COVID19 Rais wa Marekani, Joe Biden akutwa na maambukizi ya COVID-19

Maelekezo ni kuwa,chanjo haizuii maambukuzi kwa asilimia 100,na hata kama ukipata hayo maambukizi madhara yake hayawi hatarishi kwa uhai ukilinganisha na mtu asiyechanja...
Kwa hiyo hii chanjo sio sawa na ile ya Surua,Tetekuwanga au ndui ...kwa hiyo hii labda tusiseme chanjo tuiite ARV ya Covid sio?
 
Sasa kaumwaje ilhali taarifa zinasema alipata chanjo kamili???? Kwamba chanjo sasa not strong????
 
Tena wameanza jamani hawa watu wana taka nini hasa na hii corona ina ajenda gani kwao bado vitu vimepanda bei tena wameleta mambo yao ya corona hawa hivi vita sio makusudi kuna ajenda fulani ina tafutwa apa
 
Swali hapa ni: Je, Mfalme wa Saudia kanusurika maambukizi? Maana niliwaona wakiwa wamekaribiana sana wakati wa ziara ya Biden nchini Saudi Arabia na kibaya zaidi hawakuvaa barakoa/face mask.
Ni propaganda zao hizo wenye akili tuna elewa tu wajinga ndo watakuja na maneno yao kama sayansi waligundua wao
 
Kiukweli wengi waliochanja ili wasipate Korona wakikutana na sie ambao hatujachanja pamoja na vitisho vyote huwa wanajiona mafala kimoyo moyo hata kama hawakiri hadharani

kuna kijana wangu alikuwa kila mara ananitumia clips na matangazo ya vitisho kuhusu kutochanja na akisikia nimeenda Mjini kuswali Ijumaa katika misikiti mikubwa kama ya Mtoro lazima anitumie mimeseji kama waraka wa Serikali kunikanya …kuna siku nilimjibu kwa njia ya utani 'nimezaliwa, nimesoma, nimepata kazi, nimeoa wake kadhaa, nimepata watoto kadhaa, wajukuu kadhaa, nimestaafu, penshen nimekula, Hijja nimeenda …bado nini ?

alisitisha sms zake za namna hii

leo nimemtumia ya Biden kuvagaa corona japo kadungwa chanjo zote …yupo online na sms niliyomtumia imepata tiki ya bluu ila haina majibu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Rais wa Marekani amekutwa na ugonjwa wa UVIKO 19 nqa ameanza matibabu.
Rais huyo mwenye umri wa miaka 79 yuko kwenye kundi linalojulikana kuwa na risk kubwa . Ameanza kutumia dawa ya Paxlovid . Amepata maambukizi haya licha ya kuwa amepata shot 4 za kinga dhidi ya ugonjwa huu.

US President Joe Biden tests positive for COVID​

The White House said the president was experiencing "very mild symptoms" and was taking a course of Paxlovid. The 79-year-old leader was vaccinated against the coronavirus.

Biden, 79, is fully vaccinated
© Patrick Semansky/AP/picture alliance

Biden, 79, is fully vaccinated

US President Joe Biden has been diagnosed with the coronavirus, the White House said on Thursday.
Biden will "will continue to work in isolation until he tests negative," according to his aides, who said he "will participate in his planned meetings at the White House this morning via phone and Zoom from the residence.''
More to come... fb/dj (AFP, AP, dpa, Reuters)

TAZAMA PIA

Explainer: What are benefits and risks of Paxlovid to treat Biden's Covid-19?​

[IMG alt="<p>Mr Biden has received four doses of highly effective Covid-19 vaccines — a two-course primary series and two booster shots that safeguard against severe disease and death.</p>

Mr Biden has received four doses of highly effective Covid-19 vaccines — a two-course primary series and two booster shots that safeguard against severe disease and death.


WASHINGTON — Here is a rundown of possible treatments United States (US) President Joe Biden will receive for Covid-19 and the risks he faces, having been infected most likely with the fast-spreading but less severe BA.5 variant.

TREATMENTS​

At 79, the president falls into a high-risk category for Covid but has the advantage of medical advances that improve his chances for a full recovery.

Mr Biden has received four doses of highly effective Covid-19 vaccines — a two-course primary series and two booster shots that safeguard against severe disease and death.

The president has also been started on Pfizer’s antiviral drug cocktail Paxlovid, a combination of two pills that in clinical trials were shown to reduce the risk of severe disease by nearly 90 per cent in high-risk patients if taken within the first five days of infection.

Doctors say much has changed since President Donald Trump was infected in 2020 at age 74.

"This is a much different situation than Trump’s infection, which occurred before medical countermeasures such as the vaccine and Paxlovid were available," Dr Amesh Adalja, an infectious disease expert at the Johns Hopkins Center for Health Security, wrote in an email.

Dr Jeremy Faust, an emergency medicine specialist at Brigham and Women's Hospital in Boston, agreed.
"Biden isn’t remotely in the same risk category as Trump was," Dr Faust tweeted, citing Mr Biden's four doses of vaccine and the drug Paxlovid.

Dr Bruce Farber, chief of infectious diseases at Northwell Health in New York, who is not treating the president, said Paxlovid is likely the only treatment the president will get unless his symptoms worsen.

RISKS AND COMPLICATIONS​

A small but significant percentage of people who take Paxlovid will suffer a relapse or a rebound that occurs days after the five-day treatment course has ended.

Such was the case with Dr Anthony Fauci, Mr Biden's chief medical officer, who last month was infected with Covid, took Paxlovid, began testing negative and then experienced an infection rebound.

Dr Fauci was given a second course of Paxlovid by his personal physician, although the Centres for Disease Control and Prevention have said there is no evidence such additional treatment is needed.

Even with the vaccines and the advantage of a powerful antiviral drug, a small percentage of older people do wind up in the hospital.

A key indicator to watch will be the president's oxygen saturation level. If it falls below 94 per cent, or if he shows signs of breathing difficulty, that would warrant hospitalisation, experts said.

Mr Biden's late 2021 physical showed him to be relatively healthy. He is not obese, a risk factor with Covid, and he does not have common health risks of elderly people, such as heart failure.

The one exception is that he has a common condition known as atrial fibrillation, or AFib, an irregular heartbeat that increases the risk of heart attacks and strokes.

The condition increases the president's risk for severe disease, Dr Adalja said. "I think it is likely to be outweighed by his vaccination status and Paxlovid."

The president takes the anticoagulant drug Eliquis, known generically as apixaban, to treat his AFib, as well as the cholesterol-lowering statin drug Crestor.

Because both drugs interact negatively with Paxlovid, the White House said the president has temporarily stopped taking them.

Yale cardiologist Dr Harlan Krumholz said that short periods without anticoagulant added minimal risk. Neither was AFib a major concern because of the current variant.

"This variant is almost impossible to escape and that is why we are seeing rising rates of hospitalisations and deaths — but the excess deaths are still far below peaks of prior waves," he said. REUTERS
 

Attachments

  • 1658480177232.png
    1658480177232.png
    68 bytes · Views: 5
Sidhani kama kuna mtu amepata chanjo Bora za Covid 19 kuliko Rais Biden wa Marekani.

Lakini BBC imeripoti huyo Mwamba wa Dunia ana covid 19

Itoshe tu kusema Mungu wa mbinguni amrehemu yule Shujaa Magufuli!
 
Sasa ile michanjo akiyodungwa ilikuwa ya nini?

Aisee mibavicha mijinga sana
 
Sidhani kama kuna mtu amepata chanjo Bora za Covid 19 kuliko Rais Biden wa Marekani.

Lakini BBC imeripoti huyo Mwamba wa Dunia ana covid 19

Itoshe tu kusema Mungu wa mbinguni amrehemu yule Shujaa Magufuli!
Zile zilikua sio chanjo wazee
 
Mlishaambiwa chanjo haizuii kupata ila inapunguza makali yanayoweza kusababisha kifo. Kwa umri wake yule saa yoyote inamuondoa ni heri kuchanja japo siku ikifika imefika iwe kwa covid au la utakufa.
 
Sidhani kama kuna mtu amepata chanjo Bora za Covid 19 kuliko Rais Biden wa Marekani.

Lakini BBC imeripoti huyo Mwamba wa Dunia ana covid 19

Itoshe tu kusema Mungu wa mbinguni amrehemu yule Shujaa Magufuli!
Aliyekuambia ukipata chanjo hauwezi kuambukizwa ni nani? Faida kubwa ya chanjo ni kupunguza makali kama utaambukizwa. Bila chanjo saa hizi Kamala angekuwa anajiandaa kuapishwa.

Amandla...
 
Back
Top Bottom