#COVID19 Rais wa Marekani, Joe Biden akutwa na maambukizi ya COVID-19

#COVID19 Rais wa Marekani, Joe Biden akutwa na maambukizi ya COVID-19

Hii misukule ya jiwe bana, ina uelewa finyu sana, hata umueleqeshe kiasi gani mfuasi wa jiwe hawezi kuelewa kabisa
Chanjo haizuii mtu kupata Covid, bali inamsaidia akipata covid asipate madhara makubwa yatakayopekelekea kufa
Ila we msukule wa Biden unazingua, unajua maana ya chanjo? Kuchamba kwingi huishia kunuka mavi mikono.
 
Hv ni ujinga wa level za juu saana unapopiga vita chanjo za COVID, halafu at the same time unahamasisha kujifukiza! Poor you!

Chanjo ngapi tunazifanya kwa watoto kuanzia wakizaliwa! Ila kwa akili yenu hayo yenye shida ni hiyo ya COVID tu na sio hizo nyingine
 
Rais wa Marekani amepimwa nakukutwa na virusi vya Corona kwa mara pili hi no dalili kuondoka nayo jumla huku akiwa na chanjo zote mwilini

[emoji779]️US President Biden Has AGAIN Reportedly Tested Positive for Coronavirus

The president’s doctor has confirmed the positive antigen test, less than one week since he returned a negative result for the illness.

Subscribe to RTView attachment 2388085
Mkuu, hii taarifa ni ya miezi sasa.

Moderator
 
Hv ni ujinga wa level za juu saana unapopiga vita chanjo za COVID, halafu at the same time unahamasisha kujifukiza! Poor you!

Chanjo ngapi tunazifanya kwa watoto kuanzia wakizaliwa! Ila kwa akili yenu hayo yenye shida ni hiyo ya COVID tu na sio hizo nyingine
Chanjo Gani haikuzuii kupata korona?tumieni akili mmepigwa maji tu.mi ninachojua chanjo ni kinga inakufanya usipate ugonjwa
 
Chanjo Gani haikuzuii kupata korona?tumieni akili mmepigwa maji tu.mi ninachojua chanjo ni kinga inakufanya usipate ugonjwa

Kama ndicho unachojua basi hujui kuwa haujui. Kila wakati katika maisha tunapata magonjwa ambayo tulipata chanjo zake lakini yanakua kwa kiwango ambacho huwezi kuhisi hadi upimwe. Kila wakati vimelea vya Surua, Ndui, Matende, TB nk huwa tunakuwa navyo mwilini ila vinapotea kwa sababu havina nguvu, lakini haimanishi vimelea hatuvipati, bali vinakua ni Mild( havina madhara)
 
Ingelikuwa Rais Putin ndiye amepata hiyo Corona... Ungesikia Pro NATO wa Buza wanasema Hiyo ni Kazi ya CIA, Mosad, MI6...
 
Back
Top Bottom