#COVID19 Rais wa Marekani, Joe Biden akutwa na maambukizi ya COVID-19

Mlishaambiwa chanjo haizuii kupata ila inapunguza makali yanayoweza kusababisha kifo. Kwa umri wake yule saa yoyote inamuondoa ni heri kuchanja japo siku ikifika imefika iwe kwa covid au la utakufa.
UVCCM hayana akili
 
Reactions: Tsh
alibadilisha ulimwengu ukagundua kujifungia ndani sio Dili .
 
Amekufa??
 
Duh! Ujinga kitu kibaya sana.

Nani alikuambia aliyechanja hawezi ku test positive kwa COVID-19?

Chanjo kwa sehemu kubwa kaxi zake ni tatu
1. Kuzuia vifo kwa walioambukizwa.
2. Kupunguza aliyeambukizwa kupata ugonjwa mkubwa
3. Kupunguza kasi ya maambukizi.

Kuchanja hakuzuii vidudu vya Corona kumuingia aliyechanja na hivyo chanjo haizuii mhusika ku test positive.
 
Sasa unachanja ili iweje?mbona tunakuwa wajinga?labda tueleze wewe chanjo maana yake nini
Unachanja ili kuzuia kifo, kuzuia ugonjwa mkali wa mpaka kukulaza na pia kupunguza transmission .

Hakuna aliyesema ukichanja Huwezi ku test positive. Una test positive jama kawaida ila uwezekano wa Kuumwa sana hupungua na uwezekano wa kufa hupungua sana.
 
Hv zile chanjo zimeishia wapi !?🤔🤔 maan tulpigwa mikwara sana kuhusu kutokuchanja na wale wenye dunia .

Nashukuru Mungu bdo npo shwari


#RIPJPM
#USIFORCE #TUFANANE
 
Brooh hv inakuja akilin kwel unachanja halafu unatest positive si bora ukaushe tu okay mlochanja na tusiochanja tunapishana nn !? Nyie kuna uwezekano mkubwa san kesho na keshokutwa mkageuka zombies 🤔🤔🤔
 
Hapo ndipo utakapoamini kuwa, JPM alikuwa sahihi sana katika kupambana na Corona.
 
Yule mwendazake naye angechanja kama Biden leo angekuwa anachapa kazi tuu. Lakini ndiyo hivyo tena.
Sasa hivi mama Jañet anazidi kunenepeana baada ya kuondolewa kero ya kufokewa fokewa kila mara na limtu
 
Rais wa Marekani amepimwa nakukutwa na virusi vya Corona kwa mara pili hi no dalili kuondoka nayo jumla huku akiwa na chanjo zote mwilini

[emoji779]️US President Biden Has AGAIN Reportedly Tested Positive for Coronavirus

The president’s doctor has confirmed the positive antigen test, less than one week since he returned a negative result for the illness.

Subscribe to RT
 
Lakini barua ni ya July, 2022.
 
Deal ya corona ilishabuma labda wwanzishe cancer plus 12
 
Hii misukule ya jiwe bana, ina uelewa finyu sana, hata umueleqeshe kiasi gani mfuasi wa jiwe hawezi kuelewa kabisa
Chanjo haizuii mtu kupata Covid, bali inamsaidia akipata covid asipate madhara makubwa yatakayopekelekea kufa
Ulimsikia yule mkurugenz wa Pfizer's? Alisemaje? Mlichanja maji!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…