kt the irreplaceable
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 2,375
- 4,893
Ila we msukule wa Biden unazingua, unajua maana ya chanjo? Kuchamba kwingi huishia kunuka mavi mikono.Hii misukule ya jiwe bana, ina uelewa finyu sana, hata umueleqeshe kiasi gani mfuasi wa jiwe hawezi kuelewa kabisa
Chanjo haizuii mtu kupata Covid, bali inamsaidia akipata covid asipate madhara makubwa yatakayopekelekea kufa
Mkuu, hii taarifa ni ya miezi sasa.Rais wa Marekani amepimwa nakukutwa na virusi vya Corona kwa mara pili hi no dalili kuondoka nayo jumla huku akiwa na chanjo zote mwilini
[emoji779]️US President Biden Has AGAIN Reportedly Tested Positive for Coronavirus
The president’s doctor has confirmed the positive antigen test, less than one week since he returned a negative result for the illness.
Subscribe to RTView attachment 2388085
Chanjo Gani haikuzuii kupata korona?tumieni akili mmepigwa maji tu.mi ninachojua chanjo ni kinga inakufanya usipate ugonjwaHv ni ujinga wa level za juu saana unapopiga vita chanjo za COVID, halafu at the same time unahamasisha kujifukiza! Poor you!
Chanjo ngapi tunazifanya kwa watoto kuanzia wakizaliwa! Ila kwa akili yenu hayo yenye shida ni hiyo ya COVID tu na sio hizo nyingine
atoke aje mngineCIA wanataka wamdedishe,,anazngua
Chanjo Gani haikuzuii kupata korona?tumieni akili mmepigwa maji tu.mi ninachojua chanjo ni kinga inakufanya usipate ugonjwa