Rais wa Marekani, Joe Biden atangaza kutoa silaha za dola milioni 150 kwa Ukraine

ukrein wanaitaji chakula nato wanawapa siraha 😁😁😁
 
ukrein wanaitaji chakula nato wanawapa siraha 😁😁😁
Mkuu Ukraine sio hizi nchi zetu za africa, ata kama hii vita ikidumu miaka 100 hutakaa usikie mtu ata mmoja wa Ukraine kafa kwa njaa.
Kwani mpaka sasa umeshaziona zile kambi za wakimbizi zenye gurubai/hema zikiwa zimewapokea wakimbizi toka Ukraine ?

Mpaka sasa watu walioikimbia Ukraine ni zaidi ya Milioni 6 na hakuna makambi ya wakimbizi yaliyoandaliwa.

Kinachoendelea hapo ukreni ni shoo za kibabe yani silaha za gharama zinatumika, misaada ya mabilioni ya $ inatolewa, miundombinu ya gharama inaharibiwa na mwisho miji ya kifahari itajengwa na fidia za kufuru za wahanga wote wa vita watalipwa.

Mwenye pesa sio mwenzako, na hizo fikra za kiafrica za kutaka misaada ya chakula na madawa usizipeleke huko duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…