mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Mbaazi huwa zinakufanya ufikirie mbali sana.Nimemkabidhi rasmi Steve Nyerere cheo cha urais wa misiba Tanzania Bara na Visiwani kwani amethibitisha kwamba hana mpinzani. Ni bingwa wa kufariji wafiwa, kusimamia rambirambi, na kulia msibani, na kila mtu maarufu anayekufa ni ndugu yake na anamjua vizuri. Mungu aendelee kumpa maisha marefu ili watanzania tuzifaidi faraja zake.View attachment 797298
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimemkabidhi rasmi Steve Nyerere cheo cha urais wa misiba Tanzania Bara na Visiwani kwani amethibitisha kwamba hana mpinzani. Ni bingwa wa kufariji wafiwa, kusimamia rambirambi, na kulia msibani, na kila mtu maarufu anayekufa ni ndugu yake na anamjua vizuri. Mungu aendelee kumpa maisha marefu ili watanzania tuzifaidi faraja zake.View attachment 797298
Hahahahaukisoma comments za post zake mbili hizo utacheka ufe..eti hapo pichani 'Kasimama kama yuko kwenye mnada WA kokoto! yani 'konsekheni' yote IPO huko!
Hahahaha
Wewe hebu nihirumie mbavu zangu walahi!
Hahahaha
Leo hajavaa shati lake la "YANGA"Wazee wa kudanga mjini..
Possible..Ila binadamu tulivo wa ajabu ye akipata matatizo si ajabu asipate wa kumsaidia....