Rais wa misiba Tanzania bara na Visiwani

Rais wa misiba Tanzania bara na Visiwani

Mi namshangaa sana Steve...kama ni kula mbona anakula vizuri tu, inakuwaje yeye kila msiba LAZIMA awe mstari wa mbele kulia na kuonewa huruma kisha anapewa sinia nzima ya pilau na soda? Kwa kweli hii tabia aliyonayo ya kuvizia vyakula msibani si nzuri na imepitwa na wakati pia ina umri wake, washauri wake wampe ushauri mzuri mwenzao.
 
Nimemkabidhi rasmi Steve Nyerere cheo cha urais wa misiba Tanzania Bara na Visiwani kwani amethibitisha kwamba hana mpinzani. Ni bingwa wa kufariji wafiwa, kusimamia rambirambi, na kulia msibani, na kila mtu maarufu anayekufa ni ndugu yake na anamjua vizuri. Mungu aendelee kumpa maisha marefu ili watanzania tuzifaidi faraja zake.View attachment 797298
Mbaazi huwa zinakufanya ufikirie mbali sana.
 
Ninachojua mimi na kuamini ni kuwa kushiriki misiba ni ibada!!
 
Huyo mdananda certified hapo Dar.
 
Nimemkabidhi rasmi Steve Nyerere cheo cha urais wa misiba Tanzania Bara na Visiwani kwani amethibitisha kwamba hana mpinzani. Ni bingwa wa kufariji wafiwa, kusimamia rambirambi, na kulia msibani, na kila mtu maarufu anayekufa ni ndugu yake na anamjua vizuri. Mungu aendelee kumpa maisha marefu ili watanzania tuzifaidi faraja zake.View attachment 797298
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
ukisoma comments za post zake mbili hizo utacheka ufe..eti hapo pichani 'Kasimama kama yuko kwenye mnada WA kokoto! yani 'konsekheni' yote IPO huko!
Hahahaha
Wewe hebu nihirumie mbavu zangu walahi!
Hahahaha
 
Huu msiba wa Sam wa Ukweli inakuaje?
 
Nilipomsikia Richard Atufigegwe Bibo Kasesela akimtaja NILIPIGWA NA BUMBUWAZI.
 
Tunamuombea kila lakheri alejee vema kwani kunavitu vya kuweka sawa kwenye msiba wa sam wa ukweli
 
Tunamuombea kila lakheri alejee vema kwani kunavitu vya kuweka sawa kwenye msiba wa sam wa ukweli
Usijali akija kilakitu kitakuwa sawa,vp rambirambi mmefikisha sh ngap?
 
Back
Top Bottom