mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Mi namshangaa sana Steve...kama ni kula mbona anakula vizuri tu, inakuwaje yeye kila msiba LAZIMA awe mstari wa mbele kulia na kuonewa huruma kisha anapewa sinia nzima ya pilau na soda? Kwa kweli hii tabia aliyonayo ya kuvizia vyakula msibani si nzuri na imepitwa na wakati pia ina umri wake, washauri wake wampe ushauri mzuri mwenzao.