Rais Wa Misri Abdel Fattah El Sis kufanya ziara ya kikazi nchini Julai 18, 2025

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anaendelea kuwa kiongozi Mwenye ushawishi na nguvu ya ushawishi Duniani kote.

Anaendelea kuipaisha Tanzania katika anga za Kimataifa. Anaendelea kuiweka Tanzania kama Taifa la Ndoto ya kila mtu kufika na kuitembelea nchi yetu.

Rais wetu Mpendwa anaendelea kuifanya Tanzania kutamaniwa na kila mmoja kufika na kuanzisha mahusiano ya kidiplomasia na kiuchumi pamoja na mambo mengine kama vile biashara,ulinzi, teknolojia,Elimu n.k

Hii ni kwa sababu ya akili kubwa , maono na heshima kubwa aliyojijengea Rais wetu katika Macho ya Ulimwengu. Hii ni kwa sababu ya kazi kubwa aliyofanya ndani ya muda mfupi wa uongozi wake ambayo imegusa na kubadilisha Maisha ya watu.

Amefanya kazi tukuka ya kuwainua watu kiuchumi na kuboresha maisha yao . Amefanya kila mmoja kuwa katika meza ya chakula ama keki ya Taifa pasipo kuachwa mtu nyuma . Yaani waweza kusema kwa ufupi ya kuwa amefanikiwa kumfikia kila mmoja wetu.

Ni kwa Ushawishi wake ndio Maana watanzania tunaendelea kushuhudia viongozi mbalimbali na watu mbalimbali wakitembelea Nchi yetu katika nyakati tofauti tofauti kulingana na nafasi na ratiba ya Rais wetu Mpendwa .

Ni katika msingi huo wa ushawishi wa Rais wetu Mpendwa, watanzania tunakwenda kupokea Ugeni mzito wa Rais wa Misri siku ya kesho ya Tarehe 18/7/2026.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Screenshot_20260717-141029_1.jpg
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anaendelea kuwa kiongozi Mwenye ushawishi na nguvu ya ushawishi Duniani kote.

Anaendelea kuipaishi Tanzania katika anga za Kimataifa. Anaendelea kuiweka Tanzania kama Taifa la Ndoto ya kila mtu kufika na kuitembelea nchi yetu.

Rais wetu Mpendwa anaendelea kuifanya Tanzania kutamaniwa na kila mmoja kufika na kuanzisha mahusiano ya kidiplomasia na kiuchumi pamoja na mambo mengine kama vile biashara,ulinzi, teknolojia,Elimu n.k

Hii ni kwa sababu ya akili kubwa , maono na heshima kubwa aliyojijengea Rais wetu katika Macho ya Ulimwengu. Hii ni kwa sababu ya kazi kubwa aliyofanya ndani ya muda mfupi wa uongozi wake ambayo imegusa na kubadilisha Maisha ya watu.

Amefanya kazi tukuka ya kuwainua watu kiuchumi na kuboresha maisha yao . Amefanya kila mmoja kuwa katika meza ya chakula ama keki ya Taifa pasipo kuachwa mtu nyuma . Yaani waweza kusema kwa ufupi ya kuwa amefanikiwa kumfikia kila mmoja wetu.

Ni kwa Ushawishi wake ndio Maana watanzania tunaendelea kushuhudia viongozi mbalimbali na watu mbalimbali wakitembelea Nchi yetu katika nyakati tofauti tofauti kulingana na nafasi na ratiba ya Rais wetu Mpendwa .

Ni katika msingi huo wa ushawishi wa Rais wetu Mpendwa, watanzania tunakwenda kupokea Ugeni mzito wa Rais wa Misri siku ya kesho ya Tarehe 18/7/2026.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3630931
well done Dr.Samia Suluhu Hassan,

welcome to Tanzanian President of the republic of Egypt Gen. Abdel Fatah El-Sisi to TANZANIA 🔥
 
Labda ana ushawishi kwa wauaji, yaani ni muuaji fullstop.
 
Wanapigana vikumbo kuja Tanzania.
 
ha ha haaaa! ha ha haaaaaaa, Safi sana! Kuanzia leo hatumchangii tena Heche
 
Mbona huweki Tena namba yako au ndo umeachia kitengo Cha propaganda za kijinga
 
TOKA MAKTABA

10 November 2021

TANZANIA IPO NJIA PANDA KUHUSU ETHIOPIA AU EGYPT, MISAADA YA MISRI YA MASHARTI

​
Ijumaa, 17 Julai 2026 Kifaransa | عربي
.
Misri na Tanzania zakubaliana 'kuongeza kuifuatilia Ethiopia' kuhusu suala la GERD: Urais

Rais wa Misri Abdel-Fattah El-Sisi na mwenzake wa Tanzania Samia Hassan wamekubaliana "kuongeza uratibu wa kufuatilia" kati ya Misri na Tanzania kuhusu suala la Bwawa la Grand Ethiopia Renaissance (GERD), urais wa Misri ulitangaza.

dada

Rais wa Misri Abdel Fattah El-Sisi akiwa na mwenzake wa Tanzania Rais Samia Hassan mjini Cairo Jumatano (Picha: Urais wa Misri)

Viongozi hao wawili walijadili GERD na masuala mengine kadhaa wakati wa ziara ya siku tatu nchini Misri na Rais Hassan, ambaye aliwasili Cairo Jumatano.

Wakati wa mkutano wa pamoja na waandishi wa habari, Rais El-Sisi alisema Misri inatafuta kupata haki zake za maji kupitia makubaliano ya haki na kisheria na Ethiopia, ambayo inajenga bwawa kwenye kijito kikuu cha mto Nile nchini Misri.
Rais wa Misri alisema kwamba makubaliano kama hayo yatakuwa kwa mujibu wa sheria za kimataifa pamoja na taarifa ya rais ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa iliyotolewa mwezi Septemba ikitaka kuanzishwa tena mara moja kwa mazungumzo kati ya Ethiopia, Misri na Sudan.
El-Sisi alisema kwamba kufikia makubaliano kuhusu GERD kutaongeza usalama na utulivu kwa nchi zote katika eneo hilo na kufungua milango mipya ya ushirikiano kati ya nchi za bonde la mto Nile.

El-Sisi na Hassan pia walijadili masuala mengine ikiwemo kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na maendeleo kati ya nchi hizo mbili.

Rais wa Misri alisema Misri iko tayari kuhamisha utaalamu wake na usaidizi wa kiufundi ili kuongeza uwezo nchini Tanzania kupitia vikao vya mafunzo vinavyotolewa na taasisi za Misri ikiwa ni pamoja na Shirika la Ushirikiano wa Maendeleo la Misri.

Viongozi hao wawili pia walikubaliana kuongeza ubadilishanaji wa kibiashara kati ya nchi hizo mbili pamoja na uwekezaji wa Misri nchini Tanzania, hasa katika miundombinu, umeme, afya na kilimo kufuatia mafanikio ya makampuni ya Misri nchini Tanzania.

Kwa upande wake, Rais Hassan alielezea shukrani zake kwa uhusiano wa kihistoria wa nchi yake na Misri, akisema kwamba Tanzania ina nia ya kuboresha uhusiano huu katika nyanja tofauti, hasa kibiashara na kiuchumi.

Rais Hassan alisema kwamba Tanzania inakaribisha ushiriki wa makampuni ya Misri katika mpango kabambe wa maendeleo wa Tanzania, ambao juu yake ni Bwawa la Julius Nyerere.

Rais El-Sisi alisema kwamba bwawa hilo, ambalo linajengwa na makampuni ya Misri, ni "ishara ya urafiki na ushirikiano" kati ya Misri na Tanzania.
"Mradi huu ni mfano wa uungaji mkono wa Misri kwa haki za nchi za Bonde la Nile kutumia vyema rasilimali zao za maji kwa njia ambayo haiathiri nchi zingine vibaya," aliongeza.

Mnamo Desemba 2018, Wakandarasi wa Kiarabu wa Misri na kampuni za El-Sewedy Electric zilishinda zabuni ya kujenga bwawa hilo kwa gharama ya dola bilioni 2.9. Bwawa hilo linatarajiwa kuzinduliwa kabisa mwaka wa 2022.
Marais wa Misri na Tanzania walishuhudia kusainiwa kwa MoU kadhaa kati ya nchi hizo mbili katika elimu na michezo.

​
Updated Friday, 17 July 2026French | عربي

10 November 2021
Egypt, Tanzania agree to 'increase coordination' on GERD issue: Presidency

Egyptian President Abdel-Fattah El-Sisi and his Tanzanian counterpart Samia Hassan have agreed to “increase coordination” between Egypt and Tanzania concerning the Grand Ethiopia Renaissance Dam (GERD) issue, the Egyptian presidency announced.

sisi

Egypt's President Abdel Fattah El-Sisi with his Tanzanian counterpart President Samia Hassan in Cairo on Wednesday (Photo : Egyptian presidency)
​

The two leaders discussed the GERD and a number of other issues during a three-day visit to Egypt by President Hassan, who arrived in Cairo on Wednesday.

During a joint press conference, President El-Sisi said Egypt is looking to secure its water rights through a fair and legally binding agreement with Ethiopia, which is constructing the dam on the main tributary to the Nile in Egypt.

The Egyptian president said that such a deal would be in accordance with international law as well as a UN Security Council presidential statement issued in September calling for the immediate resumption of talks between Ethiopia, Egypt and Sudan.
El-Sisi said that reaching an agreement on the GERD would boost security and stability for all countries in the region and open up new horizons for cooperation between Nile basin countries.

El-Sisi and Hassan also discussed other issues including boosting economic and development cooperation between the two countries.

The Egyptian president said Egypt is ready to transfer its expertise and technical support to boost capabilities in Tanzania through training sessions provided by Egyptian institutions including the Egyptian Agency of Partnership for Development.
The two leaders also agreed to increase commercial exchange between the two countries as well as Egyptian investments in Tanzania, especially in infrastructure, electricity, health and agriculture following the success of Egyptian companies in Tanzania.

For her part, President Hassan expressed her appreciation for her country’s historical relations with Egypt, stating that Tanzania is keen to enhance these relations in different fields, especially commercially and economically.

President Hassan said that Tanzania welcomes the participation of Egyptian companies in Tanzania's ambitious development plan, at the top of which is the Julius Nyerere Dam.

President El-Sisi said that the dam, which is being built by Egyptian companies, is a “symbol of friendship and cooperation” between Egypt and Tanzania.

"This project is an example of Egypt’s support for the rights of Nile Basin countries to make the best use of their water resources in a way that does not impact other countries negatively," he added.

In December 2018, Egypt's Arab Contractors and El-Sewedy Electric companies won a bid to build the dam at a cost of $2.9 billion. The dam is expected to be completely and inaugurated in 2022.

The Egyptian and Tanzanian presidents witnessed the signing of a number of MoUs between the two countries in education and sports.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anaendelea kuwa kiongozi Mwenye ushawishi na nguvu ya ushawishi Duniani kote.

Anaendelea kuipaisha Tanzania katika anga za Kimataifa. Anaendelea kuiweka Tanzania kama Taifa la Ndoto ya kila mtu kufika na kuitembelea nchi yetu.

Rais wetu Mpendwa anaendelea kuifanya Tanzania kutamaniwa na kila mmoja kufika na kuanzisha mahusiano ya kidiplomasia na kiuchumi pamoja na mambo mengine kama vile biashara,ulinzi, teknolojia,Elimu n.k

Hii ni kwa sababu ya akili kubwa , maono na heshima kubwa aliyojijengea Rais wetu katika Macho ya Ulimwengu. Hii ni kwa sababu ya kazi kubwa aliyofanya ndani ya muda mfupi wa uongozi wake ambayo imegusa na kubadilisha Maisha ya watu.

Amefanya kazi tukuka ya kuwainua watu kiuchumi na kuboresha maisha yao . Amefanya kila mmoja kuwa katika meza ya chakula ama keki ya Taifa pasipo kuachwa mtu nyuma . Yaani waweza kusema kwa ufupi ya kuwa amefanikiwa kumfikia kila mmoja wetu.

Ni kwa Ushawishi wake ndio Maana watanzania tunaendelea kushuhudia viongozi mbalimbali na watu mbalimbali wakitembelea Nchi yetu katika nyakati tofauti tofauti kulingana na nafasi na ratiba ya Rais wetu Mpendwa .

Ni katika msingi huo wa ushawishi wa Rais wetu Mpendwa, watanzania tunakwenda kupokea Ugeni mzito wa Rais wa Misri siku ya kesho ya Tarehe 18/7/2026.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3630931
Kwa hiyo wewe na Tlaatlaah mmeandaliwa kumkatia mauno kwenye ngoma za asili anapowasili?

NYAMBAFF
 
Ni watu wajinga tu ndio watababaika na huyu muuaji. Ata akitembelewa na maraisi 100 haiondoi ukweli kuwa yeye ni kilaza, muuaji na mjinga, form four division four
 
Kesho itakuwa siku nzuri ya kukinukisha ili huyo mgeni ajue huyu mmama hatakiwi na watanganyika
 
Ni watu wajinga tu ndio watababaika na huyu muuaji. Ata akitembelewa na maraisi 100 haiondoi ukweli kuwa yeye ni kilaza, muuaji na mjinga, form four division four
Huna adabu wewe na umejaa Laana ,nukusi na Mikosi
 
Back
Top Bottom