Rais wa Misri arejea nchini kwake mara baada ya kumaliza ziara nchini

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri Mheshimiwa Abdel Fattah El-Sisi, amehitimisha ziara yake ya Kitaifa ya siku moja nchini Tanzania Julai 18, 2026.

Akiwa nchini Mhe. El-Sisi amekutana na mwenyeji wake, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na kufanya mazungumzo rasmi. Aidha, kwa pamoja wamezungumza na waandishi wa habari pamoja na kushiriki kufunga Jukwaa la Biashara kati ya Tanzania na Misri, tukio lililofanyika katika viunga vya Ikulu, Dar es Salaam.
 
Attachments

  • Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri Mheshimiwa Abdel Fattah El-Sisi, amehitimisha ziara yake y...jpg
    Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri Mheshimiwa Abdel Fattah El-Sisi, amehitimisha ziara yake y...jpg
    65.3 KB · Views: 15

    102.8 KB · Views: 17

    135.4 KB · Views: 13

    138.3 KB · Views: 11

    131 KB · Views: 17

    142.9 KB · Views: 19

    117.7 KB · Views: 16

    169.4 KB · Views: 16

    105.6 KB · Views: 14

    184 KB · Views: 14
  • Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri Mheshimiwa Abdel Fattah El-Sisi, amehitimisha ziara yake ya .jpg
    Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri Mheshimiwa Abdel Fattah El-Sisi, amehitimisha ziara yake ya .jpg
    45 KB · Views: 14
Ameondoka mapema jamhuri ya utekaji asije kutekwa mapema na abductor in chief.
 
Sioni Samia hapo mie au ndiyo hiyo Ndege amejibadilisha ..anapaa...mpaka Macca?!!!
 
Back
Top Bottom