Matendo yanayofanyika. Hilo linajidhihirisha. Chato hata BOT watajenga jengo. Kuna Chato Stadium inakuja. Sasa Chato university yenye college zote inakuja. Tena na hospital ya rufaa ipo .College ya medicine na health sciences itakuwa ya kwanza kuanza kazi.hahaha inamaanisha makao makuu ya kanda ya ziwa ni Chato
Kwa haya yanayoendelea wasiwasi wangu ni kiongozi ajaye, huenda tukashuhudia maajabu pale atakapo tumia fedha zote za bajeti za muda wake wa utawala kujenga kijiji , wilaya na mkoa anaotoka na asiguse kabisa sehemu nyingine za nchi.Hii sasa anasa. Hospital ya Kanda Ziwa ipo Chato ?Hapa hawajaangalia proximity kabisa. Ila factor ilikuwa kijijini kwa Rais. Gbadolite part 2 in the making.
Yaani tuombe Mungu ajae awe mzaliwa wa Kinondoni. Walau palishajengwa.Kwa haya yanayoendelea wasiwasi wangu ni kiongozi ajaye, huenda tukashuhudia maajabu pale atakapo tumia fedha zote za bajeti za muda wake wa utawala kujenga kijiji , wilaya na mkoa anaotoka na asiguse kabisa sehemu nyingine za nchi .Bila kupepesa macho mtawala ajaye ndie atakayeibomoa kabisa nchi,maana baada ya huyo ajae kura zitapigwa kwa kufuata mgombea ni wa wapi.
Mungu aliipenda sana nchi hii ndio maana akamleta kwanza nyerere angalau aifungue Tanzania maana kuna wengine wangetangulia tu,Nchi isingekua na utofauti na Congo DRC. Sehemu nyingi za nchi zingebaki kua remote areas. Hii ni just 6yrs tukifika kumi nusu ya pato la nchi litakua limekwenda kujuenga wilaya moja tu. Yajayo yanafurahisha.kumbe yupo likizo?
inamaana hao anaowapokea ni wageni binafsi?
Ana madharau sana huyuHivi Rais anatembelewaje nyumbni keske ziara ya kikazi?? si angeahirisha mapumziko akampokea mgeni wake Ikulu theni mgeni akiondoka anarudi kwenye mapumziko yake?? huyu jamaa mi huwa simuelewi kabisa hatukuyaona huko nyuma.
Rais wa Musunbiji na Mwenyekiti wa Sadc anahusikaje kuweka jiwe la msingi hospitali ambato haikujengwa kwa msaada wa sadc au Msumbiji??
Ngoja nijaribu kutafuta labda nitaipata, then nitakujulishaswali: tofauti ya huyyu na seseseko..ni ni!ni!?.......
jibu:ni MABUTU tu...
Kinondoni bado kabisa hiyo, inahitaji kuwa na metro system, Trams,Tandale , manzese yote ibomolewe zijengwe 5 stars apartments kisha wakazi walipe rent ndogo .zinahitajika Arena za basketball, Tennis na michezo mingine..Kinondoni bado sana hiyo kiongozi ajaye akitoka kinondoni ataibadili kuwa dubai kivitendo sio kisiasa kama walivyokuwa wakibwabwaja kina Ummy MwalimuYaani tuombe Mungu ajae awe mzaliwa wa Kinondoni. Walau palishajengwa.
Hata mimi naona ivo alianza na Uhuru Kenyatta na Raila Odinga sasa kaja na Msumbiji inaelekea anataka Ikulu ihamie Chato.Ana madharau sana huyu
Bora. Ni Dar mji wa biashara. Mapato si haba. Yataongezeka.Kinondoni bado kabisa hiyo, inahitaji kuwa na metro system, Trams,Tandale , manzese yote ibomolewe zijengwe 5 stars apartments kisha wakazi walipe rent ndogo .zinahitajika Arena za basketball, Tennis na michezo mingine..Kinondoni bado sana hiyo kiongozi ajaye akitoka kinondoni ataibadili kuwa dubai kivitendo sio kisiasa kama walivyokuwa wakibwabwaja kina Ummy Mwalimu
Jifunze vizuri sarufi sahihi ya lugha ya kiingerezaDoes this has any relationship with Current Corona outbreak?
Njoo unitembeleeSisi tunaalika wageni lakini ni wagumu kutembelea wenzetu.
Ataanzisha mkoa wa Burigi. Chato makao makuu ya mkoa. Hiyo hospital kuitwa Burigi kuna sababu.Hata mimi naona ivo alianza na Uhuru Kenyatta na Raila Odinga sasa kaja na Msumbiji inaelekea anataka Ikulu ihamie Chato.
nauhakika kabla hajamaliza mda wake makao makuu wa mkoa wa Geita yatahamia Chato, Geita itabaki kuwa Wilaya