Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi awasili Tanzania, aweka jiwe la msingi hospitali ya rufaa ya kanda Burigi, Chato

Huu mziki lazima twenda nao sambamba hamna namna, ni kwende tu kuwekeza chato kwa hii miaka 5 iliyobaki
Mwacheni apaendeleze kwao maana napo asipofanya mambo ya maana kwao akitoka.

Watu watamsema.

Mliona ule msiba uliofanyika kusini watu walianza ohh mbna kwao kubaya....hakuna barabara etc

Ova
 
Huyu mdudu anaeitwa chato naona anazidi kupanda chati Kila siku
 
Hii sasa anasa. Hospital ya Kanda Ziwa ipo Chato ?Hapa hawajaangalia proximity kabisa. Ila factor ilikuwa kijijini kwa Rais. Gbadolite part 2 in the making.
Aspopajenga kwao pia kukiwa ovyo mtalalamika.

Mtamsema mimi naunga mkono anavyofanya kwao maana sisi wanadam tuna kazi sana.

Hii inaitwa pakumbuke nyumbani nyie wa kwengine vumilieni

Ova
 
Yasije kujirudia ya CDA na Dodoma je hao wataalamu watakao kuja Chato umesha waandalia shule za watoto wao tu? Tuache huduma zingine za msingi
 
Lazima tujitokeze kumpinga huyu Rais anayejenga kwao tu na kusahau mikoa mingine, ni ubaguzi, ukabila na ukanda uliopitiliza. Nimepita leo barabara ya kuelekea Mabibo soko la ndizi huwezi kuamini kama iko katikati ya jiji kubwa kama dar, hakuna pesa ya kuikarabati ila pesa ya miradi ya Chato haikosekani
 
Yule sio wa PSU humjui hata Ibuge ambaye anasimamia Protokali wizara ya Mambo ya Nje mkuu??? Sema zamani anghekua na suti tu nyeusi ila leo kavaa gwanda nimeshangaa
Kama amevaa gwanda ni PSU.
 
tumia fasihi andishi kuelezea mfanano na tofauti kati Chato naGbadolite
(marks20)
 
Kujenga hospitali ya kanda ni jambo jema.. lakini je kanda ya ziwa inahitaji hospitali ya kanda kwa sasa.

Kanda ya ziwa tayari ina hopsitali ya kanda iliyo mwanza japo si ya serikali.

Kanda ya magharibi kwa mikoa ya tabora, kigoma, rukwa na katavi haina hospitali ya kanda kwa sasa.

Kinacho onekana ni matumizi mabaya ya fedha ni priority kitaifa na si chato.


Kuna vitu vinalazimishwa vionekane vipo kihalali.

Kuna mdau aliwahi ulizwa, kama Geita ambayo ndio makao makuu ya mkoa hakuna eneo la kujenga airport?

Na ukimwuliza mzee anakwambia ni wizara ya afya ndio imelazimisha hospitali ijengwe chato.


Lakini kwa kuwa ni facility ya kuhudumia watu, ni jambo zuri tuu
 
 

Attachments

  • 1610365907410.png
    40.6 KB · Views: 1
Sasa hao TBA walopewa hiyo kazi sii yule wa tamisemi alisema wasipewe tena kazi vile wanazembea sasa hapo vip tena
 
Yanatengenezwa mazingira ya kuhalarisha mkoa Wa Chato
 
Bob nyumbani kwanza mambo mengine badaye
Angalau yeye hajaonesha ubinafsi kwao
Ila kna wengine wako kwenye nafasi hawapakumbuki kwao

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Yasije kujirudia ya CDA na Dodoma je hao wataalamu watakao kuja Chato umesha waandalia shule za watoto wao tu? Tuache huduma zingine za msingi
Ndani ya miaka mitano kila kitu kitawekwa.
 
Magufuli ana allergy na DSM na maeneo mengine ya mijini, sasa kwanini yale majengo mapya ya wizara kule Dodoma wasingeyajenga Chato ili jamaa yetu awe na amani zaidi?
Hata hivyo yeye anaishi nje ya mji kama ulivyosema ana allergy na maeneo ya mjini. Anaishi Chamwino.

Pumbavvv kabisa, nani kakwambia Chato ni kijijini? Chato kuba beach kali na hotel za 4 hadi 5 stars.
 
Chato ndio ilipo center ya kanda hiyo?
Kwani jiwe anaangalia center sijui priority!

Miradi mingi iliyokamilika na inayoendelea chato chini ya magu hipo kiupendeleo zaidi.
 
Hata hivyo yeye anaishi nje ya mji kama ulivyosema ana allergy na maeneo ya mjini. Anaishi Chamwino.

Pumbavvv kabisa, nani kakwambia Chato ni kijijini? Chato kuba beach kali na hotel za 4 hadi 5 stars.
Na hizo hotels nyingi ni za mzee baba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…