EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Tusubiri Mungu atupe uhai tuAtaanzisha mkoa wa Burigi. Chato makao makuu ya mkoa. Hiyo hospital kuitwa Burigi kuna sababu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusubiri Mungu atupe uhai tuAtaanzisha mkoa wa Burigi. Chato makao makuu ya mkoa. Hiyo hospital kuitwa Burigi kuna sababu.
Mwacheni apaendeleze kwao maana napo asipofanya mambo ya maana kwao akitoka.Huu mziki lazima twenda nao sambamba hamna namna, ni kwende tu kuwekeza chato kwa hii miaka 5 iliyobaki
Aspopajenga kwao pia kukiwa ovyo mtalalamika.Hii sasa anasa. Hospital ya Kanda Ziwa ipo Chato ?Hapa hawajaangalia proximity kabisa. Ila factor ilikuwa kijijini kwa Rais. Gbadolite part 2 in the making.
Cult of personality.Namsikiliza hapa kwenye sherehe za ufunguzi wa Hospital ya Kanda ya Chato Waziri wa Afya, Mama Dorothy Gwajima!...
Yasije kujirudia ya CDA na Dodoma je hao wataalamu watakao kuja Chato umesha waandalia shule za watoto wao tu? Tuache huduma zingine za msingiMatendo yanayofanyika. Hilo linajidhihirisha. Chato hata BOT watajenga jengo. Kuna Chato Stadium inakuja. Sasa Chato university yenye college zote inakuja. Tena na hospital ya rufaa ipo .College ya medicine na health sciences itakuwa ya kwanza kuanza kazi.
Chato ndio ilipo center ya kanda hiyo?Hospitali ya rufaa Burigi Chato.
Kama amevaa gwanda ni PSU.Yule sio wa PSU humjui hata Ibuge ambaye anasimamia Protokali wizara ya Mambo ya Nje mkuu??? Sema zamani anghekua na suti tu nyeusi ila leo kavaa gwanda nimeshangaa
Utanung'unika hadi 2025.Hela za kuongeza mishahara na kulipa madeni ya watumishi hazipo, ila za kuendeleza Chato, zipo!!
Pathetic!
Bob nyumbani kwanza mambo mengine badayeLazima tujitokeze kumpinga huyu Rais anayejenga kwao tu na kusahau mikoa mingine, ni ubaguzi, ukabila na ukanda uliopitiliza. Nimepita leo barabara ya kuelekea Mabibo soko la ndizi huwezi kuamini kama iko katikati ya jiji kubwa kama dar, hakuna pesa ya kuikarabati ila pesa ya miradi ya Chato haikosekani
Ndani ya miaka mitano kila kitu kitawekwa.Yasije kujirudia ya CDA na Dodoma je hao wataalamu watakao kuja Chato umesha waandalia shule za watoto wao tu? Tuache huduma zingine za msingi
Hata hivyo yeye anaishi nje ya mji kama ulivyosema ana allergy na maeneo ya mjini. Anaishi Chamwino.Magufuli ana allergy na DSM na maeneo mengine ya mijini, sasa kwanini yale majengo mapya ya wizara kule Dodoma wasingeyajenga Chato ili jamaa yetu awe na amani zaidi?
Kwani jiwe anaangalia center sijui priority!Chato ndio ilipo center ya kanda hiyo?
Na hizo hotels nyingi ni za mzee baba.Hata hivyo yeye anaishi nje ya mji kama ulivyosema ana allergy na maeneo ya mjini. Anaishi Chamwino.
Pumbavvv kabisa, nani kakwambia Chato ni kijijini? Chato kuba beach kali na hotel za 4 hadi 5 stars.