Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi awasili Tanzania, aweka jiwe la msingi hospitali ya rufaa ya kanda Burigi, Chato

Rubondo Region in making
Hata mimi naona ivo alianza na Uhuru Kenyatta na Raila Odinga sasa kaja na Msumbiji inaelekea anataka Ikulu ihamie Chato.

Nina uhakika kabla hajamaliza mda wake makao makuu wa mkoa wa Geita yatahamia Chato, Geita itabaki kuwa Wilaya
 
Tatizo la nchi hii ni katiba mbovu inayomuumba mutu wakusifiwa na kuabudiwa bila kuhojiwa actions zake [emoji102][emoji120]

Odhis *
 
Halafu ana bahati sana ya kupigiwa simu na wageni wanaotaka Kuja Tz. Daah! Siyo kawaida. Communication nzuri ni ya two way na siyo one way tuuu.
 
Halafu ana bahati sana ya kupigiwa simu na wageni wanaotaka Kuja Tz. Daah! Siyo kawaida. Communication nzuri ni ya two way na siyo one way tuuu.
Huyu jamaa anatuchota sana akili haiwezekani ziara ya kitaifa ifanyikie nyumbani kwa mkuu wa nchi, HAIWEZEKANI!!!!!!
 
Kama amevaa gwanda ni PSU.
Sio Kitenge cha Vituo Maalum Kanali Ibuge anavaa gwanda za JW acheni kuchanganya mambo wakuu

Picha ya kwanza akiapishwa kama katibu mkuu Foreign Affairs & Chief of Protocol

Picha ya pili akiwa katika majukumu yake mengine mwaka 2019

Picha ya tatu leo kumpokea Nyusi
 
Hospitali ya rufaa Burigi Chato? sijaelewa ujue kwa jiografia ya hii kanda ya ziwa? au mnieleweshe ndugu zangu king'amuzi kimekwama!
 
Magufuli ana allergy na DSM na maeneo mengine ya mijini, sasa kwanini yale majengo mapya ya wizara kule Dodoma wasingeyajenga Chato ili jamaa yetu awe na amani zaidi?
Hela za kuongeza mishahara na kulipa madeni ya watumishi hazipo, ila za kuendeleza Chato, zipo!!

Pathetic!
Mtakoma miaka mitano hii si hamna cha kufanya bwana mmekalia umbea,!!ok
 
Chato everywhere, byee am going as well.. Haya
 
Tanzania ni nchi nzuri sana kuiongoza, hasa kama huna mshipa wa aibu!! Yaani unafanya unayotaka na hakuna wa kukuuliza!
 
bora wewe unashukurani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…