Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi awasili Tanzania, aweka jiwe la msingi hospitali ya rufaa ya kanda Burigi, Chato

Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi awasili Tanzania, aweka jiwe la msingi hospitali ya rufaa ya kanda Burigi, Chato

Rubondo Region in making
Hata mimi naona ivo alianza na Uhuru Kenyatta na Raila Odinga sasa kaja na Msumbiji inaelekea anataka Ikulu ihamie Chato.

Nina uhakika kabla hajamaliza mda wake makao makuu wa mkoa wa Geita yatahamia Chato, Geita itabaki kuwa Wilaya
 
Kujenga hospitali ya kanda ni jambo jema.. lakini je kanda ya ziwa inahitaji hospitali ya kanda kwa sasa.

Kanda ya ziwa tayari ina hopsitali ya kanda iliyo mwanza japo si ya serikali.

Kanda ya magharibi kwa mikoa ya tabora, kigoma, rukwa na katavi haina hospitali ya kanda kwa sasa.

Kinacho onekana ni matumizi mabaya ya fedha ni priority kitaifa na si chato.


Kuna vitu vinalazimishwa vionekane vipo kihalali.

Kuna mdau aliwahi ulizwa, kama Geita ambayo ndio makao makuu ya mkoa hakuna eneo la kujenga airport?

Na ukimwuliza mzee anakwambia ni wizara ya afya ndio imelazimisha hospitali ijengwe chato.


Lakini kwa kuwa ni facility ya kuhudumia watu, ni jambo zuri tuu
Tatizo la nchi hii ni katiba mbovu inayomuumba mutu wakusifiwa na kuabudiwa bila kuhojiwa actions zake [emoji102][emoji120]

Odhis *
 
Hivi Rais anatembelewaje nyumbni keske ziara ya kikazi?? si angeahirisha mapumziko akampokea mgeni wake Ikulu theni mgeni akiondoka anarudi kwenye mapumziko yake?? huyu jamaa mi huwa simuelewi kabisa hatukuyaona huko nyuma.

Rais wa Musunbiji na Mwenyekiti wa Sadc anahusikaje kuweka jiwe la msingi hospitali ambato haikujengwa kwa msaada wa sadc au Msumbiji??
Halafu ana bahati sana ya kupigiwa simu na wageni wanaotaka Kuja Tz. Daah! Siyo kawaida. Communication nzuri ni ya two way na siyo one way tuuu.
 
Halafu ana bahati sana ya kupigiwa simu na wageni wanaotaka Kuja Tz. Daah! Siyo kawaida. Communication nzuri ni ya two way na siyo one way tuuu.
Huyu jamaa anatuchota sana akili haiwezekani ziara ya kitaifa ifanyikie nyumbani kwa mkuu wa nchi, HAIWEZEKANI!!!!!!
 
Kama amevaa gwanda ni PSU.
Sio Kitenge cha Vituo Maalum Kanali Ibuge anavaa gwanda za JW acheni kuchanganya mambo wakuu

Picha ya kwanza akiapishwa kama katibu mkuu Foreign Affairs & Chief of Protocol

Picha ya pili akiwa katika majukumu yake mengine mwaka 2019

Picha ya tatu leo kumpokea Nyusi
Screenshot_20210111-155832.jpg
Screenshot_20210111-155938.jpg
Screenshot_20210111-160025.jpg
 
Hospitali ya rufaa Burigi Chato? sijaelewa ujue kwa jiografia ya hii kanda ya ziwa? au mnieleweshe ndugu zangu king'amuzi kimekwama!
 
Magufuli ana allergy na DSM na maeneo mengine ya mijini, sasa kwanini yale majengo mapya ya wizara kule Dodoma wasingeyajenga Chato ili jamaa yetu awe na amani zaidi?
Hela za kuongeza mishahara na kulipa madeni ya watumishi hazipo, ila za kuendeleza Chato, zipo!!

Pathetic!
Mtakoma miaka mitano hii si hamna cha kufanya bwana mmekalia umbea,!!ok
 
Chato everywhere, byee am going as well.. Haya
 
Tanzania ni nchi nzuri sana kuiongoza, hasa kama huna mshipa wa aibu!! Yaani unafanya unayotaka na hakuna wa kukuuliza!
 
Mkuu, jinyonge kabisa. Sisi huku kusini tunampenda sana katujengea hospitali ya kanda pale Mitengo, soko lakisasa pale Chuno, kapanua bandari ya Mtwara, kapanua uwanja wetu wa ndege na kufunga rada, barabara ya Mtwara - Tandahimba - Newala inaendelea kujengwa kwa kiwango cha lami, zoezi la kusambaza gas mitaani linaendelea, katujengea na kukarabati shule zetu nk. Huko nyuma hatukuyaona haya kusini
bora wewe unashukurani.
 
Back
Top Bottom