Rais wa Namibia ameamuru kuondolewa kwa Wamarekani zaidi ya 500 akisema "Wamarekani pia wanapaswa kuhitaji visa kuingia Namibia"

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
2,818
Reaction score
7,940
Rais wa kwanza mwanamke wa Namibia ameripotiwa kuamuru kuondolewa kwa Wamarekani zaidi ya 500, akisema, "Ikiwa Waafrika wanahitaji visa kuingia Marekani, basi Wamarekani pia wanapaswa kuhitaji visa kuingia Namibia".

Kuanzia tarehe 1 Aprili 2025, raia wa Marekani sasa wanahitajika kupata visa kabla ya kuingia Namibia kwa madhumuni ya utalii au biashara zisizo rasmi. Hatua hii ni mabadiliko kutoka utaratibu wa awali, ambapo raia wa Marekani waliruhusiwa kuingia nchini humo bila visa kwa muda usiozidi siku 90 kwa mwaka. Hata hivyo katika mabadiliko hayo Nchi nyingine ikiwemo Tanzania zimemesaria kwenye Orodha ya nchi ambazo raia wake hawahitaji kuwa na VISA yoyote kuingia Namibia.

Visa Kabla ya Safari: Kwa sasa, raia wa Marekani wanapaswa kuomba visa kupitia mfumo wa mtandaoni wa Namibia wa e-Visa kabla ya safari. Tovuti rasmi ni: eservices.mhaiss.gov.na/visaonarrival. Waombaji wanahitajika kuwa na nakala ngumu ya kibali cha visa wanaposafiri.

Visa ya Kuingia (Visa on Arrival): Pia, wageni wanaosafiri kupitia vituo vikubwa kama Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako (Windhoek) na Uwanja wa Ndege wa Walvis Bay, pamoja na vituo vya mpakani kama Katima Mulilo na Ngoma, wanaweza kupata visa ya utalii wanapowasili. Gharama ya visa hii ni NAD 1,600 (takriban USD 88) na ni halali kwa siku 30.

Uhalali wa Pasipoti
Raia wa Marekani wanapaswa kuhakikisha kuwa pasipoti zao zina uhalali wa angalau miezi sita zaidi ya tarehe ya kuondoka nchini Namibia. Aidha, pasipoti zinapaswa kuwa na kurasa tatu tupu kwa mihuri ya uhamiaji.

Mabadiliko haya yanafuatia juhudi za Namibia kudhibiti vyema utaratibu wa uhamiaji na kuhakikisha usalama wa kitaifa. Raia wa Marekani na wageni wengine wanashauriwa kupanga safari zao mapema na kuzingatia masharti haya mapya.

Rais huyu wa kwanza mwanamke aliapishwa rasmi Ijumaa wiki chache tu baada ya chama chake, SWAPO, kushinda uchaguzi wa Novemba.

Rais Nandi-Ndaitwah pia amepunguza idadi ya mawaziri katika baraza lake la mawaziri kutoka 21 hadi 14, na kati ya hao 14 ni 3 tu ndio wamefanikisha kurudishwa kwenye uwaziri, 11 waliobaki wote ni wapya sawa na asilimia 86% ya mawaziri wapya.

Mfumo mpya wa kupata visa ya utalii kwenye uwanja wa ndege au mipakani nchini Namibia ni mfumo mpya ulioanza kutekelezwa kuanzia Tarehe 1 April 2025.

Hata hivyo pia Ubalozi wa Marekani nchini Namibia umewajulisha Raia wake kuhusu matakwa ya kuomba VISA endapo watalazimika kuingia Namibia kupitia kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii na website yao.

Kwa maelezo zaidi, tembelea tovuti rasmi ya huduma za uhamiaji ya Namibia: eservices.mhaiss.gov.na/

Soma kwenye tovuti ya ubalozi wa marekani Namibia kuhusu vitu vinavyohitajika kwa Wamarekani kuingia namibia: New Entry Requirements for U.S. Citizen Tourists Entering Namibia – Effective April 1, 2025

Screenshot_20250415-074147_X.jpg
 
Kwa maelezo zaidi, tembelea tovuti rasmi ya huduma za uhamiaji ya Namibia: eservices.mhaiss.gov.na

Soma kwenye tovuti ya ubalozi wa marekani Namibia kuhusu vitu vinavyohitajika kwa Wamarekani kuingia namibia: New Entry Requirements for U.S. Citizen Tourists Entering Namibia – Effective April 1, 2025

View attachment 3304779
Ni kutokana na tarrif iliyoongezwa kutoka kwenye madini yanayotoka nchini humo
 
Ka nchi ka Motp haka.

Wale wenzetu wa " we are sovereignity wasituingilie"

Huku madeni yanataka kuzamisha nchi😅😅
 
Wanaojitambua ndiyo hawa.
 
Imekaaa sawa tena angeongezea Ndege itayotumika kuleta ndugu zetu iyoiyo itabeba na Wazungu wao!!!!°
 
Ndugu zetu uko Wanakamatwa Bila Sababu yyte ya Kisheria mtu anafanya kazi zake kufatana na Sheria zao zote !!!

lkn wanamdaka kiuni !!!!

Sisi uku tunacheka nao uku wengine Wanataka kupindua Tawala za kisheria, kama pale Congo
 
Rais wa kwanza mwanamke wa Namibia ameripotiwa kuamuru kuondolewa kwa Wamarekani zaidi ya 500, akisema, "Ikiwa Waafrika wanahitaji visa kuingia Marekani, basi Wamarekani pia wanapaswa kuhitaji visa kuingia Namibia".

Kuanzia tarehe 1 Aprili 2025, raia wa Marekani sasa wanahitajika kupata visa kabla ya kuingia Namibia kwa madhumuni ya utalii au biashara zisizo rasmi. Hatua hii ni mabadiliko kutoka utaratibu wa awali, ambapo raia wa Marekani waliruhusiwa kuingia nchini humo bila visa kwa muda usiozidi siku 90 kwa mwaka. Hata hivyo katika mabadiliko hayo Nchi nyingine ikiwemo Tanzania zimemesaria kwenye Orodha ya nchi ambazo raia wake hawahitaji kuwa na VISA yoyote kuingia Namibia.

Visa Kabla ya Safari: Kwa sasa, raia wa Marekani wanapaswa kuomba visa kupitia mfumo wa mtandaoni wa Namibia wa e-Visa kabla ya safari. Tovuti rasmi ni: eservices.mhaiss.gov.na/visaonarrival. Waombaji wanahitajika kuwa na nakala ngumu ya kibali cha visa wanaposafiri.

Visa ya Kuingia (Visa on Arrival): Pia, wageni wanaosafiri kupitia vituo vikubwa kama Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako (Windhoek) na Uwanja wa Ndege wa Walvis Bay, pamoja na vituo vya mpakani kama Katima Mulilo na Ngoma, wanaweza kupata visa ya utalii wanapowasili. Gharama ya visa hii ni NAD 1,600 (takriban USD 88) na ni halali kwa siku 30.

Uhalali wa Pasipoti
Raia wa Marekani wanapaswa kuhakikisha kuwa pasipoti zao zina uhalali wa angalau miezi sita zaidi ya tarehe ya kuondoka nchini Namibia. Aidha, pasipoti zinapaswa kuwa na kurasa tatu tupu kwa mihuri ya uhamiaji.

Mabadiliko haya yanafuatia juhudi za Namibia kudhibiti vyema utaratibu wa uhamiaji na kuhakikisha usalama wa kitaifa. Raia wa Marekani na wageni wengine wanashauriwa kupanga safari zao mapema na kuzingatia masharti haya mapya.

Rais huyu wa kwanza mwanamke aliapishwa rasmi Ijumaa wiki chache tu baada ya chama chake, SWAPO, kushinda uchaguzi wa Novemba.

Rais Nandi-Ndaitwah pia amepunguza idadi ya mawaziri katika baraza lake la mawaziri kutoka 21 hadi 14, na kati ya hao 14 ni 3 tu ndio wamefanikisha kurudishwa kwenye uwaziri, 11 waliobaki wote ni wapya sawa na asilimia 86% ya mawaziri wapya.

Mfumo mpya wa kupata visa ya utalii kwenye uwanja wa ndege au mipakani nchini Namibia ni mfumo mpya ulioanza kutekelezwa kuanzia Tarehe 1 April 2025.

Hata hivyo pia Ubalozi wa Marekani nchini Namibia umewajulisha Raia wake kuhusu matakwa ya kuomba VISA endapo watalazimika kuingia Namibia kupitia kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii na website yao.

Kwa maelezo zaidi, tembelea tovuti rasmi ya huduma za uhamiaji ya Namibia: eservices.mhaiss.gov.na/

Soma kwenye tovuti ya ubalozi wa marekani Namibia kuhusu vitu vinavyohitajika kwa Wamarekani kuingia namibia: New Entry Requirements for U.S. Citizen Tourists Entering Namibia – Effective April 1, 2025

View attachment 3304779
Huyo mama ni mjinga, na sooner atajuta
 
wakati inzi wa kijani wanawaza kila mweupe hata albino aingie tu bongo kiholela alimuradi ni mwehupe kwa lafudhi ya jiwe aka kiongozi wa maraiaka
Mbona hata Tanzania, Wamarekani wanaingia kwa VISA....ni kwamba tu Namibia walichelewa
 
Nimependa hapo ktk kupunguza mawaziri na wengi kupigwa chini

Huku venezuela ya mashariki, tume ya uchaguzi inaongeza majimbo alafu lukuvi na majaliwa wanapigiwa kampeni warudi tena bungen
 
Back
Top Bottom