Ktk kuikomesha SA, USA iliongeza kodi kwa majirani wa south africa wote kasoro mozambique. Us anahofia bidhaa za SA zitaingia kwake kupitia nchi jirani.Ni kutokana na tarrif iliyoongezwa kutoka kwenye madini yanayotoka nchini humo
Ktk kuikomesha SA, USA iliongeza kodi kwa majirani wa south africa wote kasoro mozambique. Us anahofia bidhaa za SA zitaingia kwake kupitia nchi jirani.Ni kutokana na tarrif iliyoongezwa kutoka kwenye madini yanayotoka nchini humo
Uwezo wake kama mwanamke ndiyo ujinga gani? Na angekuwa mwanaume pia kungekuwa na haja ya kutambua uwezo wake kama mwanaume? Ambavyo huwa mnapiga debe kuwa we're all equal kwanini basi tusiwe tunatambuana tu kama binadamu?Kwanini tusitambua Uwezo wake kama mwanamke?
Hivi ni sh ngapi? Nyingi km ya wao,maana sisi kwenda kwao ni laki 5 shenzi kabisaMbona hata Tanzania, Wamarekani wanaingia kwa VISA....ni kwamba tu Namibia walichelewa
HAIWEZEKANIMawazo haya na ujasiri huu, unapaswa kuambukizwa Africa yote na kuwa na msimamo kama huo kwa viongozi wote
Uanamke ni Special case sawa na ulemavu lazima ueleze in detail watu wasijedhan ni Rais binadam wa kawaida.Kuna haja ya kuandika Rais mwanamke, ukiandika Rais haitoshi mkuu!
We utakua ***** sio bure.Huyo mama ni mjinga, na sooner atajuta
Uwezo wake kama mwanamke ndiyo ujinga gani? Na angekuwa mwanaume pia kungekuwa na haja ya kutambua uwezo wake kama mwanaume? Ambavyo huwa mnapiga debe kuwa we're all equal kwanini basi tusiwe tunatambuana tu kama binadamu?
Mpe maelekezo hayo ajuza Hangaya.Imekaaa sawa tena angeongezea Ndege itayotumika kuleta ndugu zetu iyoiyo itabeba na Wazungu wao!!!!°
Cut the crap, 👆. This is a free forum if you're wasting your time by reading whatever I post and wasting it more by responding that's your own fvcking problem.Don't waste my time please.