Rais wa Namibia ameamuru kuondolewa kwa Wamarekani zaidi ya 500 akisema "Wamarekani pia wanapaswa kuhitaji visa kuingia Namibia"

Ni kutokana na tarrif iliyoongezwa kutoka kwenye madini yanayotoka nchini humo
Ktk kuikomesha SA, USA iliongeza kodi kwa majirani wa south africa wote kasoro mozambique. Us anahofia bidhaa za SA zitaingia kwake kupitia nchi jirani.
 
Kwanini tusitambua Uwezo wake kama mwanamke?
Uwezo wake kama mwanamke ndiyo ujinga gani? Na angekuwa mwanaume pia kungekuwa na haja ya kutambua uwezo wake kama mwanaume? Ambavyo huwa mnapiga debe kuwa we're all equal kwanini basi tusiwe tunatambuana tu kama binadamu?
 
Huyo mama ni mjinga, na sooner atajuta
We utakua ***** sio bure.
Ujinga alio uonyesha huyo mama ni upi?
Atajuta kwa kipi?
Ungekua mwanafamilia wangu ninge kutilia hata sumu ufe, maana huna faida.
 
Don't waste my time please.
Uwezo wake kama mwanamke ndiyo ujinga gani? Na angekuwa mwanaume pia kungekuwa na haja ya kutambua uwezo wake kama mwanaume? Ambavyo huwa mnapiga debe kuwa we're all equal kwanini basi tusiwe tunatambuana tu kama binadamu?
 
Don't waste my time please.
Cut the crap, 👆. This is a free forum if you're wasting your time by reading whatever I post and wasting it more by responding that's your own fvcking problem.
In case you've forgotten there is IGNORE button, just visit there and you'll never waste your time by reading my posts.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…