TANZIA Rais wa Namibia, Hage Geingob afariki Dunia

TANZIA Rais wa Namibia, Hage Geingob afariki Dunia

Nipo Okahandja, lisaa limoja mpaka windhoek.
Kumepoa sana na hii ni kawaida hususani siku za weekend lakini nadhani na hili limechangia kwa leo.
Saivi Mhe Nangolo Mbumba kashika kijiti cha urais mpaka uchaguzi utakapo amua.
 
Legacy yake kama mpambania usasa (moderniser) itaendelea kuishi licha ya contradictions na unfulfilled promises.
 
Back
Top Bottom