Rais wa Nchi anafahamu tulifika Fainali Michuano ya CAF 1993, We Nani ubishe??

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,775
Reaction score
29,746
Katika hotuba yake kwenye siku ya Simba Day 06 Aug 2023, Rais wa Nchi Mama Samiah Suluhu amesema anafahamu tulifika Fainali Michuano ya CAF mwaka 1993 na Robo fainali Msimu ulioisha.

Sasa wewe Uto endelea kubisha na kuita sijui Abiola Cup. Kwanza unaweza kushitakiwa kwa uhainin Kwa kuonekana unaendana kinyume na matakwa ya Rais
 
Ni vile hakutaja fainali mlizofika, lile lilikuwa kombe la mafuta la tajiri wa Nigeria aliyekuwa anaitwa Moshood Abiola.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…