Rais wa Nchi anafahamu tulifika Fainali Michuano ya CAF 1993, We Nani ubishe??

Rais wa Nchi anafahamu tulifika Fainali Michuano ya CAF 1993, We Nani ubishe??

Attachments

  • IMG_20230730_231722.jpg
    IMG_20230730_231722.jpg
    58.3 KB · Views: 1
Kwahiyo umepost tu bila hata kufikiri asemacho kina ukweli au lah?

Rage ajengewe sanamu
Naulizaje habari za manyani na mambwa ambao hawajui mpira wana bweka bweka hovyo na mambumbu?
Kamulze priva makao makuu salamanda alietafsiri hii
 

Attachments

  • IMG_20230730_231722.jpg
    IMG_20230730_231722.jpg
    58.3 KB · Views: 1
Alisema na mwaka 1974 pia mlifika final champions ligi, hongereni
 
Ushaambiwa wenye akili ni 2 tu,sa unatarajia nini?
 
Back
Top Bottom