Nyie ndio wale utopolo hata manara akiwaambia mle kinyesi mtaiona pepo kesho tu mtaanza kusifia rangi ya kinyesiNi vile hakutaja fainali mlizofika, lile lilikuwa kombe la mafuta la tajiri wa Nigeria aliyekuwa anaitwa Moshood Abiola.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Nenda kamuulize huyu alietafsiri mnae hapo matopeniHuyo luc alikua anajua kiswahili?? Nipe tafsiri ya mbumbumbu kwa kimombo.
Kwahiyo umepost tu bila hata kufikiri asemacho kina ukweli au lah?Nenda kamuulize huyu alietafsiri mnae hapo matopeni
Naulizaje habari za manyani na mambwa ambao hawajui mpira wana bweka bweka hovyo na mambumbu?Kwahiyo umepost tu bila hata kufikiri asemacho kina ukweli au lah?
Rage ajengewe sanamu
Akili kisoda, jina tu linasadifu hilo.Naulizaje habari za manyani na mambwa ambao hawajui mpira wana bweka bweka hovyo na mambumbu?
Kamulze priva makao makuu salamanda alietafsiri hii
Uzeni bandari mkipata hela wekezeni YangaNyie makolo mtauza bandari kwa hadaa kidogo tu.