Rais wa nchi analipwa shilingi ngapi kwa mwezi?

Rais wa nchi analipwa shilingi ngapi kwa mwezi?

Hivi,nichanganye mada. Raisi akimaliza mda wake,hujengewa nyumba. Na mambo mengine ikiwemo ulinzi,usafiri,.....
Kama ilivyotokea kwa late Magufuli, familia yake inapewa?
 
Hii 100M,ni kama kuulizia buku kwa mama ntilie. Usione watu wanauana,kile kiti kitu kingine aise. Uislam unamruhusu mwanamke kuongoza wanaume? Lakini ilikuwaje!!!
Unaweza kuta tu mtu kuonana nae, $ zilishasoma. Wale hawaishi kwa shilingi aise.
Imagine upo kwenye kiti ambacho mshahara wako maybe ni 10m per month lakini bado una uwezo wa kusema niwekeeni 1B kwenye akaunti yangu na hakuna wa kuhoji. Aisee acha watu wauane tuu
 
Imagine upo kwenye kiti ambacho mshahara wako maybe ni 10m per month lakini bado una uwezo wa kusema niwekeeni 1B kwenye akaunti yangu na hakuna wa kuhoji. Aisee acha watu wauane tuu
Sasa! Watu wanatokwa mapovu,wengine wanafanyiwa mnayoyajua! Kile kiti ukikalia,umasikini kwa heri. Sema tu kuna watu wengine walizaliwa na nyota zao aise. Kiulainiiiii.

Jiulize maraisi,hasa Africa,wanaomiliki ndege zao binafsi. Kama ma Gulfstream. Ukijua ndege kwa saa uendeshaji wake unagharimu kiasi gani,ndo utajua raisi si mwenzako. Kama una sembe yako,kula ugali ulale tu.
 
Aisee ht mm ningekuwa kwenye position ya kutaka urais halafu naona kuna ngedere ananikwamisha aisee Mm nakula sahani moja nae, waache tuu watu watambe kwenye nafasi walizopo mana hatujui wamefikaje hapo
 
Ronaldo, Messi,..... na raisi. Nani ana kipato kikubwa!?
Inawezekana ni akina messi ila kumbuka kwenye baadhi ya nchi hasa Afrika urais ina uwanja mkubwa na ni lifetime contract Na ukifa bado kuna watu/familia wanakula matunda yako.
 
Habari zenu wakubwa,

Hivi mama samia anakunja shilingi ngapi mwisho wa mwezi? Maana usikute tunamlaum bure kumbe mshahara tunaomlipa ni kiduchu.
Kila siku unasikia ametoa mabilioni ya hela kujenga mahospitali, unaweza kumlipa huyo kweli?
 
Japo siujui,ila marais mishahara yao huwaga midogo. Sema tu wana allowances za ajabu sana. Af na cheo chake tu,Wale wanaomzunguuka ndo wanatengeneza maisha na connection. Mshahara kwake ni kama jina tu
Na wewe unaamini? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Huyu hayati wenu punguani mwongo sana .
Milioni 9 inamaa mawaziri wote walikuwa wanampita kimaslahi?
Mkurugenzi wa TPDC alikuwa anampita?
Kamishna wa Ngorongoro alikuwa anampita?
Yule Jamaa alijua sana kucheza na akili za malofa.
Wewe jamaa nakublock kumanina zako.
 
.
Ukifikiria Vizuri kundi lililo na Mishahara iliyowazi ni Private Sector ambapo kila kitu kinajumuishwa kwenye mshahara. Mfanyakazi wa Private Sector anaweza kulipwa 3M (inayokatwa kodi) ukaona ni nyingi
ILA Mfanyakazi wa Serikali atalipwa 2m Inayokatwa kodi na pengine allowance ya 2m+ kwa mwezi ambayo haikatwi kodi; hapo ni yupi analipwa hela nyingi?
 
Hakika wa serikali anazoa kwa chepe.
 
Back
Top Bottom