Rais wa Nchi anapofariki akiwa madarakani Nchi huwa katika nyakati za hatari zaidi kuliko wakati wowote ule

Mbona unapinga bila facts, ukisema hapana sema kwa nini
 
Vifo kwenye siasa kama vipo 20 kifo kimoja tu ndio kinakuwa natural.
Ila uliangalia kwa jicho la tumbusi ule mlolongo wa vifo kwa baadhi ya watumishi Ikulu kisha kumalizia na namba moja kuna ka uwalakini fulani hivi, kwa jinsi ninavyoifahamu CORONA imetumika kama subject matter kuficha kitu kwa uangalizi alikokuwa nao hayati kuna jambo linafichwa si bure.
 
Well mimi sio mtu wa idara na pia sio movie sio .penz wa mapicha ila napenda kujuwa kile kinaendelea duniani. Naomba kasome report ya kifo cha JF wa marekani, report ya kifo cha Isack Rabin na mwisho nokifumbue macho. Kama hujuwi basi ujuwe leo usiwe mshamba.
Wamarekani rafiki yao mkubwa ni Israel na UK hawa idara zao zina saidiana sana sana. Even kwenye matukio makubwa hawa wanasaidiana.
Tanzania tuna nchi tunasaidiana sana kwenye idara mfano kwa africa SA ni watu wetu, Hapo Mozambique ni watu wetu, zambia watu wetu Uganda watu wetu, Kenya ni marafiki zetu walisaidia sana vita ya uganda pia Kenya ni central or heaven of high profile intelligence unity usiniulize why... Zimbabwe wanatuheshim sana hapo Ethiopia, sudan kusin, Kongo kama ulikuwa hujuwi Tz is among the best intelligence agency in the world but is under ground. Nikianza kukupa madini utaniogopa nenda kakojowe kalale kama unafikiri taifa hili kuna vilaza basi pole.
 
Usitutishe sasa nyoka wa kibisa wewe
 
Alafu tuache ushamba mbona haya mambo yakawaida tatizo watu hatusomi ila hili ni somo la bure kwa kila mtu tusijiachie sana Kifo cha rais ni jambo lahatari sana kwa usalama wa Taifa.
 
Umejihangaisha kumjibu. Hawa vijana wa kileo ni majanga sana
 
Waziri mkuu wa Israel aliyeuwawa anaitwa Yitzak Rabin

Kijana aliyemuua yes aliandaliwa na alikuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu. Alikuja kufungwa miaka 2 na sasa yupo huru.

Wale jamaa hovyo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…