nyboma
JF-Expert Member
- Aug 29, 2021
- 2,308
- 7,366
Kwa ile statement yake katika uzi wa ben inaonekana huyu ndio alimnyonga kabisa benMwili wa Ben Saanane mliutupa wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa ile statement yake katika uzi wa ben inaonekana huyu ndio alimnyonga kabisa benMwili wa Ben Saanane mliutupa wapi?
Mbona unapinga bila facts, ukisema hapana sema kwa niniPunguzeni kuangalia movie sana!
1.Umejuaje hayo?Wewe ni mtu wa ndani?
-Kama siyo umejuaje?Nani kakuhadithia?
-Kama ndiyo,mbona umeandika shallow sana?Mtu wa ndani huwa anaandika facts zilizoshiba na sio blah blah za kuokoteza!
2.Eti usalama wanaunganisha nguvu na nchi jirani kufanya uchunguzi!Really?Yaani taifa lipate msiba wa Rais halafu muanze kualika vyombo vya nje kuja kushirikiana kuchunguza kifo?Ni kanuni ya nchi gani?Tz au nchi zote?
Nways,kwenye huu uzi naona umeandikwa kwa hisia zaidi!
Nimepinga kwa kuuliza maswali,kama anajua alichoandika basi ajibu maswali yangu!Mbona unapinga bila facts, ukisema hapana sema kwa nini
Ila uliangalia kwa jicho la tumbusi ule mlolongo wa vifo kwa baadhi ya watumishi Ikulu kisha kumalizia na namba moja kuna ka uwalakini fulani hivi, kwa jinsi ninavyoifahamu CORONA imetumika kama subject matter kuficha kitu kwa uangalizi alikokuwa nao hayati kuna jambo linafichwa si bure.Vifo kwenye siasa kama vipo 20 kifo kimoja tu ndio kinakuwa natural.
Well mimi sio mtu wa idara na pia sio movie sio .penz wa mapicha ila napenda kujuwa kile kinaendelea duniani. Naomba kasome report ya kifo cha JF wa marekani, report ya kifo cha Isack Rabin na mwisho nokifumbue macho. Kama hujuwi basi ujuwe leo usiwe mshamba.Punguzeni kuangalia movie sana!
1.Umejuaje hayo?Wewe ni mtu wa ndani?
-Kama siyo umejuaje?Nani kakuhadithia?
-Kama ndiyo,mbona umeandika shallow sana?Mtu wa ndani huwa anaandika facts zilizoshiba na sio blah blah za kuokoteza!
2.Eti usalama wanaunganisha nguvu na nchi jirani kufanya uchunguzi!Really?Yaani taifa lipate msiba wa Rais halafu muanze kualika vyombo vya nje kuja kushirikiana kuchunguza kifo?Ni kanuni ya nchi gani?Tz au nchi zote?
Nways,kwenye huu uzi naona umeandikwa kwa hisia zaidi!
Mimi sijawahi kuwa huko labda wazazi wangu.We jamaa ni wa kitengo
Usitutishe sasa nyoka wa kibisa weweWell mimi sio mtu wa idara na pia sio movie sio .penz wa mapicha ila napenda kujuwa kile kinaendelea duniani. Naomba kasome report ya kifo cha JF wa marekani, report ya kifo cha Isack Rabin na mwisho nokifumbue macho. Kama hujuwi basi ujuwe leo usiwe mshamba.
Wamarekani rafiki yao mkubwa ni Israel na UK hawa idara zao zina saidiana sana sana. Even kwenye matukio makubwa hawa wanasaidiana.
Tanzania tuna nchi tunasaidiana sana kwenye idara mfano kwa africa SA ni watu wetu, Hapo Mozambique ni watu wetu, zambia watu wetu Uganda watu wetu, Kenya ni marafiki zetu walisaidia sana vita ya uganda pia Kenya ni central or heaven of high profile intelligence unity usiniulize why... Zimbabwe wanatuheshim sana hapo Ethiopia, sudan kusin, Kongo kama ulikuwa hujuwi Tz is among the best intelligence agency in the world but is under ground. Nikianza kukupa madini utaniogopa nenda kakojowe kalale kama unafikiri taifa hili kuna vilaza basi pole.
Wanaweza kukubeza Ila we ni informer mzurMimi sijawahi kuwa huko labda wazazi wangu.
Usimlishe maneno. Hakuna alipoandika hivyo.Eti anasema kwa sasa kuna timu ambayo hata Samia haijui inashirikiana na nchi marafiki kuchunguza kifo cha JPM!
Mleta mada hakuna alipoandika kuhusu Mama Samia.Hapo kachapia
Kaandika indirect hapo eti kusema anaweza gombea eti ni hatari kwake wangeweza kumumaliza lohMleta mada hakuna alipoandika kuhusu Mama Samia.
Umejihangaisha kumjibu. Hawa vijana wa kileo ni majanga sanaWell mimi sio mtu wa idara na pia sio movie sio .penz wa mapicha ila napenda kujuwa kile kinaendelea duniani. Naomba kasome report ya kifo cha JF wa marekani, report ya kifo cha Isack Rabin na mwisho nokifumbue macho. Kama hujuwi basi ujuwe leo usiwe mshamba.
Wamarekani rafiki yao mkubwa ni Israel na UK hawa idara zao zina saidiana sana sana. Even kwenye matukio makubwa hawa wanasaidiana.
Tanzania tuna nchi tunasaidiana sana kwenye idara mfano kwa africa SA ni watu wetu, Hapo Mozambique ni watu wetu, zambia watu wetu Uganda watu wetu, Kenya ni marafiki zetu walisaidia sana vita ya uganda pia Kenya ni central or heaven of high profile intelligence unity usiniulize why... Zimbabwe wanatuheshim sana hapo Ethiopia, sudan kusin, Kongo kama ulikuwa hujuwi Tz is among the best intelligence agency in the world but is under ground. Nikianza kukupa madini utaniogopa nenda kakojowe kalale kama unafikiri taifa hili kuna vilaza basi pole.
Waziri mkuu wa Israel aliyeuwawa anaitwa Yitzak RabinUwenda watu wengi hawajuwi na huwenda wengi tunafikiri baada ya Rais wa Taifa kufa basi wakisha fukia na kupiga mizinga basi kazi imeisha. Na sasa kila mtu anaona kuna fursa basi aanze kupiga tarumbeta zake..
Jibu ni hapana.
Rais yeyote wa taifa anapo fariki Taifa huwekwa ktk hali ya hatari kwa kipindi kisicho julikana. Wakati huwo team ya watu maalumu inayo undwa na maofisa wa idara nyeti za usalama huwingia kazini na kuanza kutafuta tarifa nyeti na nzito ambazo hata yule alie kaimu huwenda hajuwi... Team hii ya makachero maalumu huwa na makachero maalumu kutoka idara nyeti za mataifa rafiki kufuwatilia sababu za kifo za Rais alie kuwa madarakani.
Kipindi chote cha upelelezi team hii ugawanyika ktk makundi yasiojulikana kuhakikisha yeyote alie ktk kikundi kile hatowi wala kuvujisha taarifa za siri kwa mtu au kikundi chochote. Nikipindi cha hatari na dhahima kwa yeyote anaye waingilia makachero hawa.
Nikipindi ambacho kama upo smart utasikia taarifa za vifo vya top government officer silence pasipo sababu zinajulikana ila moja wapo ni natural death. Alilala hakuamka, alikuwa kikao akasema hajisikii vizuri au covid19.
Niwakati wale walikuwa wandani wa Rais alie kufa hupita nyakati ngumu na mara nyingi kifo na uzima ubaki mikononi ya team inafuwatilia kifo cha rais. Sio wakati hata kama umepata nafasi ya juu sana unapaswa kuonyesha una hatamia au unaona kwako ni fursa maana unaweza kuwa mchawi pasipokujuwa mchawi na mwisho ukaingia ktk report ya siri ya usalama wa Taifa.
Labda niseme hapa kidogo ktk Taifa lolote lenye mifumo imara ya ulinzi hasa idara hii ya usalama wa Taifa nivigumu sana Rais wa nchi kuwa huru kama vile unasikia. Idara hii nyeti ya Taifa lolote huwa ni idara inayo angalia zaidi masilahi mapana ya Taifa na mara nyingi kama Rais wa taifa akienda kinyume na taratibu hii idara ubadilika kuwa adui wa siri wa kiongozi.
Labda nitoe mfano kule Israel mtendaji mkuu wa shughuli za taifa ni waziri mkuu. Waziri mkuu wa Taifa la Israel ni mtu mwenye nguvu sana na mpaka majeshi anaweza yapeleka vitani na kwa wenzetu wame advance huwezi fikia nafasi ya uwaziri mkuu kama hujafanya jambo zito lakijasiri kuitegea nchi yako. Una ambiwa kwa mfano waziri mkuu mstaafu Bwana Benjamin Netanyau ni moja ya mawaziri alie fikia level ya ukomandoo na sio tu komandoo tu jamaa na IQ 153 kama sijakosea yani ni moja ya mawaziri ana akili sana na sio hivyo tu ila kaka yake ni among most intelligent and among the special unity ktk kukomboa mateka kule uganda ila alikufa kwa bahati mbaya na mpaka leo taifa lina omboleza juu ya kifo chake.
Niende kwenye kile nataka kuwaambia kule israel alitokea waziri mkuu mmoja anaitwa Isack Rabin waziri mkuu huyu alifanya tukio ambalo kwa taifa la Israel nikuuwawa alifikiri kwa ushawishi aliokuwa nao na nguvu atawaunganisha Israel na Palestinian na kurudisha ardhi ya Palestinian. Jambo hili alofanikiwa ila aliporudi nyumbani Isack Rabin alipigwa Risasi na kufa hapo hapo na kijana alie kuwa ktk team ya wafuwasi wake.
Jambo la ajabu sana ktk tukio hili nikuwa kulikuwa na taarifa za siri sana kwamba kijana alie muuwa waziri mkuu alikuwa ni kijana alie pikwa kwa siri na team ya mossad ili kumu eliminate waziri huyu kwasababu alikuwa aki hatarisha masilahi mapana ya usalama wa Taifa hilo.
Mossad ni moja ya idara za usalama wa taifa la israel inayo ogopwa na mataifa hata makubwa na kama ulikuwa ujuwi idara hii inaheshimika mpaka na idara nyeti kama CIA, M16 ya UK pamoja na KJB nk. Idara hii haijawahi shindwa na data zake mara zote 100%
Mpaka leo kijana huyo yupo mahabusu na haijajulikana nani alie mtuma.
Rais wa Taifa kufa madarakani ni jambo lahatari sana maana huwa ni kama kibali cha kuuwa kwa jina la jamuhuri. Watu hufa watu hupotea kwa jina la jamuhuri niwakati hata wale wapo madarakani yawapasa kuwa makini na midomo yao ama mawazo yao. Niwakati ambao kama umepewa kurithi kiti basi kuongoza mka pale muda unaisha wa alie fariki nankukaa pembeni wenye nchi wamchaguwe wanaye mtaka ama usubiri kuona giza mbele kama giza liliwakumba watu wa zambia.
Sio muda eti kutangaza nia hapana epuka huwo mtego maana utaonekana mchawi. Nakufanya walio ktk upelelezi wa kifo cha Rais alie kufa kukuweka ktk list ya mambo yakuhisi.
Vyama vya upinzani nilazima kuwa makini hasa hiko kipindi maana unaweza jikuta mna hangaika na mtu msie muona why ni aina hii ya kazi ile team wanafanya.
Naandika haya kama elimu kwa watanzania na makada kujuwa hiki kipindi nikibaya sana kuunda makundi au kuanzisha vuguvugu la nani awe Rais nikitisho kwa usalama wa Taifa na Taifa.
End