Rais wa Nchi anapofariki akiwa madarakani Nchi huwa katika nyakati za hatari zaidi kuliko wakati wowote ule

Rais wa Nchi anapofariki akiwa madarakani Nchi huwa katika nyakati za hatari zaidi kuliko wakati wowote ule

Nisaidie wapi nilipo andika #2030 Mkuu, kamhemko kamekupata sasa.

Anyway tumpe support Mama.
Support ipi tena anahitaji? Katiba imeshampa Support sasa Kitu gani tena anahitaji? Kodi tunalipa na mshahara analipwa. Nini tena cha Ziada?
 
Asingekuwa na sifa wala JPM asingempendekeza mgombea wake mwenza....wala "vetting" isingekubali apite kwani katiba inaelekeza yupi anakuwa Rais ikitokea kilichotokea......

Mh.SSH ameshakuwa RAIS....

Ndani ya muda mfupi ameamuru mwendelezo wa yafuatayo:-

1)Ujenzi wa SGR
2)Ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere
3)KULIENDELEZA jiji la Dodoma na ujenzi wa kiwanja cha ndege Msalato
4)Kaajiri vijana 8000(Tamisemi+Wizara ya Afya)...ilipita miaka 6 hakukuwa na ajira nyingi mpya
5)Kapandisha madaraja watumishi wa umma....ilipita miaka mingi hilo halikuonekana.....
6)Kaahidi kupandisha mishahara mwaka ujao wa fedha
7)n.k n.k

Haya niletee swali lingine la "MBANGO"......
Magufuli hakujuwa kama atakufa.
Magufuli hakutaka watu wakumkosoa
Magufuli alipenda zidumu fikra za mwenyekiti
Kama vyombo vyetu vya usalama vingejuwa Magufuli atakufa au wangefanya uchaguzi nakuweka kipengele je akifa basi huyu Rais wa sasa ambaye alikuwa makamu wake asingepita. Ila well yameshatokea na serikali imejifunza kwa makosa. Mengine ni historia.
 
Jamaa huwa ana connected patterns katika information zake. I credit her. Ukimfuatilia vizuri na taratibu utajua

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Nina nguvu za ajabu nasikia nakuona mbali... Wala sio mtu wa idara. Trust me. Japo ni mmoja wa vijana wa wazee wakale ktk mfumo...
 
Katiba hii ya kumpa makamu wa rais nafasi ya urais inabid itazamwe upya.

Tuwe na namna ya kumpata mtu wa kutuvusha kabla ya kuelekea uchaguzi.

Lakini sio hii ya kurithi tu hiyo nafasi
 
Unaweza kuwa na ukweli ila sii kweli... JK nimoja ya kazi nzuri ya system. Nadhani JK aweza kuwa moja ya majasusi hatari kabisa yaliopikwa nakupikika kwa ajili ya kesho ya taifa hili. Tunaweza sema mengi ila mmmm huyu mzee sio wakawaida
Wanasahau kuwa huyo JK ndiye Rais pekee aliyekuwa msoja kamili.
 
Katiba hii ya kumpa makamu wa rais nafasi ya urais inabid itazamwe upya.

Tuwe na namna ya kumpata mtu wa kutuvusha kabla ya kuelekea uchaguzi.

Lakini sio hii ya kurithi tu hiyo nafasi
Ni kama vile humuamini Mama Samia. Ulitaka tuingie gharama mpya za kuitisha uchaguzi na kampeni zile muda wetu!.
 
Aisee Mungu alikutumia. Sasa ninavyoona kumbe tuna safari ndefu kwa sababu ukiangalia 90% ya viongozi wakubwa serikalini kuna kauli wamezitoa za kushangilia/kufurahia kifo cha Dkt Magufuli. Kumbe maskini hawajui kumbe ni kuidharau idara nyeti. Mpaka hapo 2025 haijulikani kabisa. Jambo lingine ilikuwaje Mama akatangaza nia wakati bado hata mwaka haujaisha???? Nani alimshauri???? Kwa sababu ukiangalia ni kama taifa bado lipo linaomboleza, yaani ni tofauti kama rais Dkt Magufuli angeondoka kupitia njia za uchaguzi nadhani Mama tungemzoea haraka na idara nyeti ingekuwa imejiandaa. Ila kwa hili mtu waliyemuandaa for almost a decade then aje afe kizembe tena kwa kufungiwa na taifa lipate taarifa tu ya kifo tena wengine wafanye sherehe dahhh sijui
Kwamba taifa bado linaomboleza? Yataisha lini hayo maombolezo? Mjane mwenyewe kashasahau sahivi shavu linatoka.
Acheni ndoto mchana mambo yalishaisha songeni mbele.
 
Kwamba taifa bado linaomboleza? Yataisha lini hayo maombolezo? Mjane mwenyewe kashasahau sahivi shavu linatoka.
Acheni ndoto mchana mambo yalishaisha songeni mbele.
Pole sana hujui
 
1. Sio Isack Rabin,.. ni Yitzhak Rabin.

2. Sio KJB,.. ni KGB!

3. Uzi utopolo!

Jamaa kaandika kiswahili na ki utamshi wa kiswahili. Yitzhak kiswahili ni Isaka /Iscak (English name.
KJB kiswahili ...we pronounce KGB in English...Jeturuda... Getrude...Joji ...George....

Look at the contents na sio context....Hoja...Ola... Jesus...Hesus....
Mchina hajui USA wala Africa...jina na USA hajui kama mnamuita Marekani....

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Watu mnapenda sana ligi!

[emoji2960][emoji41][emoji23]
 
Back
Top Bottom