Rais wa Nchi anapofariki akiwa madarakani Nchi huwa katika nyakati za hatari zaidi kuliko wakati wowote ule

Bado una imani hiyo mkuu?
Duh!

Heshima sana mkuu 'Msanii'.

Maneno ya mstari huo ulio ni'quote' yamenistua sana kwamba niliyaandika mimi. Sikuwa na kumbukumbu nayo kwa vile hiyo hotuba sikuwa na kumbukumbu nayo.

Sasa ume niuliza kama "Bado nina imani hiyo..."

Kabla sijarejea 'context' ya hotuba hiyo, naomba unipe muda niweze kujibu hili swali lako muhimu katika wakati tuliomo sasa hivi.
Nina hakika, nilipo yaandika hayo maneno nilikuwa na sababu za kuwa na imani hiyo; na sidhani kuwa hii hali tuliyomo sasa itakuwa imebadili maoni hayo.

Naahidi kukupa jibu.
 
Umekuwa muungwana kunifafanulia kidogo.

Nasubiri majibu mkuu ili tuendelee kuelimika ama kuelimishana
 
Hawajuwi=hawajui, huwenda=huenda, isack=yitzhak, all in all mada inaeleweka vema ila kuna makosa ya kiuandishi/sarufi na ukoseaji wa majina sahihi
 
Back
Top Bottom