Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!Bado una imani hiyo mkuu?
Kwa tafsiri yako unayo upa "ukoloni." Kwa maana yangu mahali popote pasipokuwepo na haki, hapo kuna "ukoloni". Kwa sasa hivi tulivyo hapa chini ya CCM, hata ukoloni una nafuu.Era ya ukoloni imeshapita.
Nini kinaendelea tena huu Uzi kufukuriwaKosa kubwa la watu wawapo madarakani ni kusahau watu waliowabeba hili ni kosa kubwa Sana Sana
Kizimkazi ni mahututi nchini Cuba kwa polepoleNini kinaendelea tena huu Uzi kufukuriwa
Pepo shindwa.Kwani kuna nini huko? Mbona hizi post zinafufuliwa kwa wingi hivi karibuni?
Umekuwa muungwana kunifafanulia kidogo.Duh!
Heshima sana mkuu 'Msanii'.
Maneno ya mstari huo ulio ni'quote' yamenistua sana kwamba niliyaandika mimi. Sikuwa na kumbukumbu nayo kwa vile hiyo hotuba sikuwa na kumbukumbu nayo.
Sasa ume niuliza kama "Bado nina imani hiyo..."
Kabla sijarejea 'context' ya hotuba hiyo, naomba unipe muda niweze kujibu hili swali lako muhimu katika wakati tuliomo sasa hivi.
Nina hakika, nilipo yaandika hayo maneno nilikuwa na sababu za kuwa na imani hiyo; na sidhani kuwa hii hali tuliyomo sasa itakuwa imebadili maoni hayo.
Naahidi kukupa jibu.
Sidhani. Kimbunga ndo kimesababisha.Kizimkazi ni mahututi nchini Cuba kwa polepole
Bandugu bapenzi, buzushi habufai kwa mutawala wa nji hiyi . Bado tunamupenda.Kizimkazi ni mahututi nchini Cuba kwa polepole