But that younger man is paying a huge price on our behalf, is so bold, not greedy of money na hatishiki, big up Bro....your are giving us a good example to emulate as younger men of this continent.
Iwe kweli au isiwe kweli, JF inastahili kutambuliwa, kuheshimiwa na kupata tuzo, tena kubwa zaidi ya sifa alizoimwagia Rais Buhari.
Nami naongeza kwamba huo ni mwanzo tu wa kutambuliwa kwa mtandao huu kimataifa. Tuzo na heshima zitazidi kumiminika zaidi siku zijazo toka ndani na nje ya Tanzania.
Hongera sana Maxence Melo kwa kutuwakilisha vyema vijana wa Tanzania
Uendelee kuwa na moyo huohuo wa kupiga vita ufisadi.
Kunao watu wakisikia hii habari watashindwa kulala na wake zao kwa amani na watataka kubuni mbinu ovu za kukukwamisha. Ndio! Watu hao wapo na wamekusumbua sana na bado wangali wakitaka kukufunga mdomo.
Vijana tupo bega kwa bega na wewe katika kupambana na huu ukoloni mbaya kuliko ule wa mwanzo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.