‪Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari ampa heshima Maxence Melo wa JamiiForums kwenye mkutano wa AU‬

‪Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari ampa heshima Maxence Melo wa JamiiForums kwenye mkutano wa AU‬

IMG_6763.JPG


Nimeona max ameshukuru hii recognition kwny status yake jioni hii


Hongera sana ndg yangu
 
Hongera captain Maxence Melo usikatishwe tamaa na namna yeyote ya kutaka kukurudisha nyuma.unafanya kazi kubwa sana kwa jamii yako ya watanzania, wana afrika mashariki na dunia nzima kwa ujumla inatambua kazi yako. Bado kidogo dunia nzima itakujua wewe ni nani.
 
Hivi mkuu wetu anaweza kupongeza mambo ya maana kama haya!?
 
Back
Top Bottom