Iwe kweli au isiwe kweli, JF inastahili kutambuliwa, kuheshimiwa na kupata tuzo, tena kubwa zaidi ya sifa alizoimwagia Rais Buhari.
Nami naongeza kwamba huo ni mwanzo tu wa kutambuliwa kwa mtandao huu kimataifa. Tuzo na heshima zitazidi kumiminika zaidi siku zijazo toka ndani na nje ya Tanzania.
Hongera zenu JF. Hongera Maxence Melo.