Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,393
- 3,237
Nimeamini nabii hakubaliki kwao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kweli tulishukiwa ila ilikuwa ni TCRA nikawa najaribu kuangalia kama wana "Mabawa"lakini sikuyaona hahahaha!Hata rais wetu mtukufu JPM anatambua mchango wa JF na anaomba malaika washuke waufunge mara moja.
Nje ya Mada
Abdul yule waziri Mwigulu Nchemba aliyekuita kinyago alikuomba msamaha?
Usimshangae huyo hata kidogo...kuna tetesi kuwa ni mpwa wa jiwe.Ukapimwe akili.
Mkuu kuna msemo (" baniani mbaya kitu chake dawa") Jiwe japo anataka kumfunga maxence lakini yeye mwenyewe yumo humu na fake ID lakini wale vijana wa Lumumba (Wasaka tonge au njaa Kali) hawalijui hili wao kazi yao ni kusikiliza anaropoka kitu gani nao wafuate mkondoHutawaona vijana wa Lumumba wakimpongeza Melo japokuwa hili ndo jukwaa lao pendwa
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Katika maraisi watakaopoteza umaarufu baada ya kutoka madarakani ni pamoja na huyu Jiwe!Jiwe anatamani malaika ashuke afunge JF.
Umaarufu wake tayari umeshapotea hukumbuki yule Eyakuze kaambiwa sio raia wa Nchi hii baada ya kutamka umaarufu wa Jiwe umeshuka. Nchi ikiwa na kiongozi Dikteta 🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂 kazi ya wapambe na wateule ni kumsifu kuliko wanavyomsifu Muumba wao! tena kinafikiKatika maraisi watakaopoteza umaarufu baada ya kutoka madarakani ni pamoja na huyu Jiwe!
Tumtumainie Mungu