Rais wa Poland aionya Afrika dhidi ya jaribio jipya la ukoloni wa Urusi kupitia masuala ya Usalama na Nishati

Rais wa Poland aionya Afrika dhidi ya jaribio jipya la ukoloni wa Urusi kupitia masuala ya Usalama na Nishati

Mmwambie aache umama maana hatujawalazmisha Kuja Africa sema sisi tunaongoza Kwa kujipendekeza
 
Urusi hawana issue wala hakuna nchi za Africa zinazomuendekeza, huwezi kuwa kiongozi wa dunia halafu ukaenda kuitembelea Uganda na Ethiopia kwa kuishaiwishi dunia na ukaacha nchi zote za maana. Ni wazi Putini hana tena ushawishi ulimwenguni, sera zake na itikadi yake ni kuendelea kusalia madarakani ndio mana alimtembela M7 dekteta mwenzake.

Mimi toka nizaliwe Rais wa Uganda ni M7., na siku akichoka mwanae anafuatia ambaye saivi ashampachika mavyeo jeshini huko.
Nonsense
 
Rais wa Poland Andrzej Duda ameonya mataifa ya Afrika kuwa makini na kile alichokiita sera ya kifalme ya Urusi kutokana na kuongezeka kwa ushawishi wake katika masuala ya usalama na nishati

Amedai kuwa Urusi ilikuwa ikitumia Kundi la Wagner (kampuni ya usalama ya kibinafsi) kama "chombo chake cha kijeshi" barani Afrika chenye matokeo ya " kinyama na ya kikatili"

Hii ni baada ya Ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Sergei Lavrov ya Julai, 2022 kuonesha nguvu ya kidiplomasia ya nchi hiyo alipotembelea Nchi za Misri, Ethiopia, Uganda na Congo-Brazzaville

..................................................

Polish President Andrzej Duda has warned African nations to be wary of what he called Russia’s imperial policy towards the continent.

In an interview with the BBC, Mr Duda said Russia's growing influence in Africa in the areas of security and energy was a "new attempt at colonization".

He claimed Kremlin was using the Wagner Group – a private security firm - as its "military tool"’ in Africa with "ruthless and brutal" consequences.

The Polish president recently visited three African countries - Nigeria, Senegal and Ivory Coast - in an attempt to boost relations with the continent and explore alternatives to Russian oil and gas in the wake of a global energy crisis.

Russia's Foreign Minister Sergei Lavrov in July showed the country's diplomatic clout in Africa during his four-nation tour to Egypt, Ethiopia, Uganda and Congo-Brazzaville.

The second Russia-Africa summit is due to be held in Ethiopia in October, where trade and defence deals could be signed to strengthen relations.

Source: BBC
Napenda wanawake wenye kujuwa maswala Kama haya ya kimataifa na siasa zake itakuwa na kufollow aisee

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
EU na USA hawapaswi kulazimisha maadui wao wawe maadui WA Africa
Saw lkn urus hawana jipya Wala msaada ktk Africa wazingu kibao kina usaid na ifrd zote zinafanya Kaz Africa na Kutoa pesa ndefu Happ Ni lini tumeona mrusi akifanya tafiti huku hkn Ni her nitawaliw na USA kuliko nikajiunga na mrusi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom