Tetesi: Rais wa Rwanda kufanya ziara ya ghafla nchini Tanzania

Tetesi: Rais wa Rwanda kufanya ziara ya ghafla nchini Tanzania

Akija atekwe akabidhiwe mikononi mwa majeshi ya DRC
Huyu mtu anaitesa Afrika Mashariki hasa Congo DR kwa mambo yake ya kupenda vita.Kumekuwa na wimbi la wakimbizi,vifo,vilema,familia kupotezana,chuki,hasira,njaa,udumavu wa ukuaji kiuchumi,uporaji wa maliasili hasa za DRC,utapakaaji wa silaha haramu na hatari za moto,kuibuka kwa vitendo vya wanyang'anyi wenye silaha za moto,ubakaji,ujangili kwenye mbuga na hifadhi za wanyama,ulegevu wa masuala ya kisiasa,kutokuaminiana,kuogopana,kudharauliana,kuhariibu miundombinu ya elimu,usafiri,maji na umeme,kuzua matabaka ya wababe,walionacho wachache na mafukara wengi.Kwa hayo madhila,PK hana maana na hafai kwenye jamii ya waliostaarabika.Hana tofauti na Joseph Kony au Kibwetere.
 
Kutokana na kile kinachoendelea kati ya DRC & Rwanda natabiri rais mrefu kuliko wote East Afrika kufanya ziara ya ghafla sana nchini Tanzania ili kuweka mambo sawa

Huyu mtu si mzuri aisee, ni kukaa nae chonjo sana..
 
Back
Top Bottom