TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
simu za siku hizi zinasumbua kweli kweli! Pole, Mkuu.....kuhusu video....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
simu za siku hizi zinasumbua kweli kweli! Pole, Mkuu.....kuhusu video....
mpumbavu weweMkumbuke huyu jamaa na mseveni walitusaidia vita ya Uganda siyo mnapayuka tu
Museveni aliingia kwenye mapambano akiiutaka urais lakini si kwamba alipenda saaana kupambana pembeni ya Tanzania.Pole sana kijana wa 1990
paka ni ndiye anayeharibu umoja na utengamano katika ukanda huu wa africa ya mashariki, nilishawahi kusema nitamlaumu JK kwa kupata nafasi ya kumshikisha adabu na kutoitumia vizuriHuyu mtu anaitesa Afrika Mashariki hasa Congo DR kwa mambo yake ya kupenda vita.Kumekuwa na wimbi la wakimbizi,vifo,vilema,familia kupotezana,chuki,hasira,njaa,udumavu wa ukuaji kiuchumi,uporaji wa maliasili hasa za DRC,utapakaaji wa silaha haramu na hatari za moto,kuibuka kwa vitendo vya wanyang'anyi wenye silaha za moto,ubakaji,ujangili kwenye mbuga na hifadhi za wanyama,ulegevu wa masuala ya kisiasa,kutokuaminiana,kuogopana,kudharauliana,kuhariibu miundombinu ya elimu,usafiri,maji na umeme,kuzua matabaka ya wababe,walionacho wachache na mafukara wengi.Kwa hayo madhila,PK hana maana na hafai kwenye jamii ya waliostaarabika.Hana tofauti na Joseph Kony au Kibwetere.
Inapendeza iwapo juhudi hizo zinaenda kuimarisha usalama wa wananchi huko GomaKutokana na kile kinachoendelea kati ya DRC & Rwanda natabiri rais mrefu kuliko wote East Afrika kufanya ziara ya ghafla sana nchini Tanzania ili kuweka mambo sawa
Kwani vip mjomba!Jambo moja la ajabu kuhusu chuki ni kuwa hummaliza/humuumiza aliyonayo kuliko anayetupiwa asiye na hatia..............mafanikio makubwa kabisa ambayo jitu lenye chuki na wivu anaweza kuwa nayo ni kuwa mchawi tu basi.
Kweli kabisa, inatakiwa akija anatekwa maswala ya Rwanda yanafutika kabisaAkija atekwe akabidhiwe mikononi mwa majeshi ya DRC
Mwenyeji wake yupo!!? Hawana mawasiliano!!? Huku anakuja kukutana na nani!!? Atulie nyumbani kwake madini ya kongo aachane nayo yatamtoa roho nchi yenyewe ndogo ipo juu ya kichuguu ni makombora kadhaa rwanda yote vumbiKutokana na kile kinachoendelea kati ya DRC & Rwanda natabiri rais mrefu kuliko wote East Afrika kufanya ziara ya ghafla sana nchini Tanzania ili kuweka mambo sawa
Waitusaidia kitu gani?Mkumbuke huyu jamaa na mseveni walitusaidia vita ya Uganda siyo mnapayuka tu
walitusaidia au harakat zao ndo zilifanya vita itokee kwa kutafuta sabab atudundeMkumbuke huyu jamaa na mseveni walitusaidia vita ya Uganda siyo mnapayuka tu
Natabiri Bukoba itahamia mpakani. Hatofika bongoKutokana na kile kinachoendelea kati ya DRC & Rwanda natabiri rais mrefu kuliko wote East Afrika kufanya ziara ya ghafla sana nchini Tanzania ili kuweka mambo sawa
PK aicharaze tu na bongo apanue utawala wake hakuna jinsi.
Najua hawezi, lakini natamani. Tumechoshwa na washenzi wa CCM. Ile ajali ya Precision ingetokea nchi kama Rwanda it is my trust wange surpass expectations kwa kufanikisha rescue mission kwa ufanisi mkubwa..
Sawa sasa nendeni kwa kagame yeye ana drone alipewa na Netanyahu yeye hana vifaru.Tuliwasaidia M7 mpaka kesho anaihudumia familia ya Mwalimu Nyerere kwa msaada aliompa.
Vita vya Uganda alikusaidia Kagame ?? Museveni Alitaka kumwangusha Amini sisi ndio tulimsaidiaMkumbuke huyu jamaa na mseveni walitusaidia vita ya Uganda siyo mnapayuka tu
Hizo drone kama Rwanda anazo Tz inashindwaje kununua? Tatizo lenu kubwa ni ushamba na kujipa sifa ambazo hamna.Sawa sasa nendeni kwa kagame yeye ana drone alipewa na Netanyahu yeye hana vifaru.