Tetesi: Rais wa Rwanda kufanya ziara ya ghafla nchini Tanzania

paka ni ndiye anayeharibu umoja na utengamano katika ukanda huu wa africa ya mashariki, nilishawahi kusema nitamlaumu JK kwa kupata nafasi ya kumshikisha adabu na kutoitumia vizuri
 
Kutokana na kile kinachoendelea kati ya DRC & Rwanda natabiri rais mrefu kuliko wote East Afrika kufanya ziara ya ghafla sana nchini Tanzania ili kuweka mambo sawa
Inapendeza iwapo juhudi hizo zinaenda kuimarisha usalama wa wananchi huko Goma

Vinginevyo tuangalie kama wakongwe wa kusimamia amani namna ya kuwakutanisha mahasimu ili kuondoa vita vinavyoendelea
 
Jambo moja la ajabu kuhusu chuki ni kuwa hummaliza/humuumiza aliyonayo kuliko anayetupiwa asiye na hatia..............mafanikio makubwa kabisa ambayo jitu lenye chuki na wivu anaweza kuwa nayo ni kuwa mchawi tu basi.
Kwani vip mjomba!
 
PK aicharaze tu na bongo apanue utawala wake hakuna jinsi.
Najua hawezi, lakini natamani. Tumechoshwa na washenzi wa CCM. Ile ajali ya Precision ingetokea nchi kama Rwanda it is my trust wange surpass expectations kwa kufanikisha rescue mission kwa ufanisi mkubwa..
 
Kutokana na kile kinachoendelea kati ya DRC & Rwanda natabiri rais mrefu kuliko wote East Afrika kufanya ziara ya ghafla sana nchini Tanzania ili kuweka mambo sawa
Mwenyeji wake yupo!!? Hawana mawasiliano!!? Huku anakuja kukutana na nani!!? Atulie nyumbani kwake madini ya kongo aachane nayo yatamtoa roho nchi yenyewe ndogo ipo juu ya kichuguu ni makombora kadhaa rwanda yote vumbi
 

Unazungumzia hawa Rwanda ambao Sukhoi 25 ya enzi za Pontio pilato imetua nchini kwao na kuondoka hajarushiwa hata neno "mjinga wewe ole wako utue tena" hahah, ndo wana utaalamu wa rescuing???? [emoji1] sitetei uzembe wa mamlaka zetu ila Rwanda ume mu over rate sana ndugu yangu.

Ni wakati sasa Kajunguti International Airport ijengwe sasa.
 
Sawa sasa nendeni kwa kagame yeye ana drone alipewa na Netanyahu yeye hana vifaru.
Hizo drone kama Rwanda anazo Tz inashindwaje kununua? Tatizo lenu kubwa ni ushamba na kujipa sifa ambazo hamna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…