Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
PK anatucheka sana mnoooo yaanii....kwa mengi sana ....wizi rasilimsli zetu feida wachache eti mtandao....jeshi na miss wapo kimya kuuana hovyo kisa siasa za kushinda mwizi mmoja kikundi chake ....anatucheka mno bandari kuuza wajomba sisi hatuwezi kuendesha khaaasRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Rwanda Mhe. Paul Kagame mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa Ziara ya Kikazi, leo tarehe 03 Mei, 2026.
Kila la Kheri Waheshimiwa wetu Mungu awabariki, Maongezi yao yalete kheri na baraka kwenye Nchi zetu.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Rwanda Mhe. Paul Kagame mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa Ziara ya Kikazi, leo tarehe 03 Mei, 2026.
View attachment 3583271
Anataka Bandari ya Tanga.Uyu kagame si ndio alimuingiza chaka mwenda zake kwenye zile ndege mda huu kaja kufanya nini tena mama anatqka kumpa nini maana jamaa mjanja sana
Kwishaaa mama atampa tuAnataka Bandari ya Tanga.
Najua atabaki kusimulia alivyokuwa na bahati kuhudhuria na kushuhudia mechi ya kihistoria ya aina yake PSG vs Bayern jumanne iliyopita jijini Paris kwa mwaliko wa boss wa PSG Nasser al Khelaifi.Wanabodi,
Watch TBC live,mapokezi ya Rais Paul Kagame wa Rwanda,(Paulo Mrefu)
View: https://www.youtube.com/live/wcruMoEPLic?si=dGEOe0f_DsxNKuha
Paskali
Wanabodi,
Watch TBC live,mapokezi ya Rais Paul Kagame wa Rwanda,(Paulo Mrefu)
Paskali
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Rwanda Mhe. Paul Kagame mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa Ziara ya Kikazi, tarehe 03 Mei, 2026.