MBOKA NA BISO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 766
- 792
Ni mkutano ulioitishwa na amim bin Hamad Al Thani kiongozi wa nchi hiyo.
Wenyewe wanajua walichokuwa wakikiongelea
Win-winQatar ni mabwana wapya wa Rwanda au wenza wa maendeleo?
Alishtuka labda mlitaka kumuua, Rais wa Burundi, na Samora Vifo vyao viliichanganya Dunia, Walitunguliwa, yeye aliamua kubaki kwenye maandaki ku okoa uhai wake.Ni aibu sana kwa Afrika, huyo Tshisekedi hata kuja Daresalaama alikataa na wengi tulipenda ile "African Solution for Africa's problems" viongozi wa jumuia wawe makini sana na huyu House Nigger.
Kapelekewa mpaka Majeshi ya kumsaidia lakini analeta zarau, vijana wetu wamefia nini?!
Hakika Tshisekedi ametutia aibu. Dar es Salaam hakuja alikwenda Ujerumani, na Angola hajaenda kaenda Qatar. Katutia aibu kubwa mno!Ni aibu sana kwa Afrika, huyo Tshisekedi hata kuja Daresalaama alikataa na wengi tulipenda ile "African Solution for Africa's problems" viongozi wa jumuia wawe makini sana na huyu House Nigger.
Kapelekewa mpaka Majeshi ya kumsaidia lakini analeta zarau, vijana wetu wamefia nini?!
Mwisho wa Kagame umekaribiaView attachment 3275675
View attachment 3275681
Ni mkutano ulioitishwa na amim bin Hamad Al Thani kiongozi wa nchi hiyo.
Wenyewe wanajua walichokuwa wakikiongelea
Hakika Tshisekedi ametutia aibu. Dar es Salaam hakuja alikwenda Ujerumani, na Angola hajaenda kaenda Qatar. Katutia aibu kubwa mno!
KOSA KUBWA ALILOFANYA MUNGU (KAMA YUPO ANYWAY) NI KUMUUMBA MWAFRIKATukiitwa nyani tunalalamika hatupendwi sijui tunabaguliwa,nchi mbili pua na mdomo mnahama hadi bara mnaenda kuongea mambo yanayozihusu nchi zenu kwenye mataifa ya watu?
Ni aibu kubwa kwa Kagame kuvuruga amani ya jirani yake. Alipotoka dar aliwatangazia kuwa hakuna wa kumpangia lakufanya.....Ni aibu sana kwa Afrika, huyo Tshisekedi hata kuja Daresalaama alikataa na wengi tulipenda ile "African Solution for Africa's problems" viongozi wa jumuia wawe makini sana na huyu House Nigger.
Kapelekewa mpaka Majeshi ya kumsaidia lakini analeta zarau, vijana wetu wamefia nini?!
KOSA KUBWA ALILOFANYA MUNGU (KAMA YUPO ANYWAY) NI KUMUUMBA MWAFRIKA
Kama Wana CCMHapo hakuna hata kunywa glass ya maji. Hawaaminiani 😂
Halafu ni younger kuliko waoView attachment 3275675
View attachment 3275681
Ni mkutano ulioitishwa na amim bin Hamad Al Thani kiongozi wa nchi hiyo.
Wenyewe wanajua walichokuwa wakikiongelea
Angekuja Dar kufanya Nini? Nitajie mgogoro mmoja tu ambao nchi za Africa zimeshawahi kuutatua.Ni aibu sana kwa Afrika, huyo Tshisekedi hata kuja Daresalaama alikataa na wengi tulipenda ile "African Solution for Africa's problems" viongozi wa jumuia wawe makini sana na huyu House Nigger.
Kapelekewa mpaka Majeshi ya kumsaidia lakini analeta zarau, vijana wetu wamefia nini?!