Rais wa Rwanda Paul Kagame, akutana na rais wa DRC, Tshisekedi huko Doha, Qatar

Rais wa Rwanda Paul Kagame, akutana na rais wa DRC, Tshisekedi huko Doha, Qatar

Angekuja Dar kufanya Nini? Nitajie mgogoro mmoja tu ambao nchi za Africa zimeshawahi kuutatua.
Hizo ni dalili za viongozi wenyewe kutoheshimiana.
Dalili ya pili, kama wanaitwa na wanaenda, hiyo nayo dalili ya badhi ya mataifa kuongoza kwa mkono wa watu wengine.
Dalili ya tatu,ila kwa asilimia ndogo sana, tuseme labda ni kutii washilika.

Ila kwa upande mwingine, kutokufanikiwa kwa viongozi wa Africa katika hili, ni kuogopa ukweli.
 
Hakika Tshisekedi ametutia aibu. Dar es Salaam hakuja alikwenda Ujerumani, na Angola hajaenda kaenda Qatar. Katutia aibu kubwa mno!
Hicho kiti alistahili kukalia Martin Fayulu ila Kabila na tume yake ya Uchaguzi walifanya uhuni
 
Ni aibu sana kwa Afrika, huyo Tshisekedi hata kuja Daresalaama alikataa na wengi tulipenda ile "African Solution for Africa's problems" viongozi wa jumuia wawe makini sana na huyu House Nigger.

Kapelekewa mpaka Majeshi ya kumsaidia lakini analeta zarau, vijana wetu wamefia nini?!
Viongozi wa Africa hawana uwezo wa kutatua migogoro ama ya kwao au ya watu wengine...kwa mfano unaijua kabisa kazi ya AU?
 
Viongozi wa Africa hawana uwezo wa kutatua migogoro ama ya kwao au ya watu wengine...kwa mfano unaijua kabisa kazi ya AU?
Sasa bro, chini ya katibu mkuu wa AU, huyo aliyeondoka kwa aibu kubwa, Mussa Faki Mahamat;

Nadhani unakumbuka kikao cha majuzi viongozi walipotakiwa kukutana kwa mazungumzo, mshikaji si alizuiliwa? Kwamba hajaalikwa! Hiyo ni ishara ya AU imekaeje.

Unakumbuka sakata la kupindua serikali Niger? Yeye mwenyewe, akaunga mkono juhudi za Nigeria kuivamia Niger.
Kiongozi gani mwenye busara, angelidhia kumwagika damu ya raia wasio na hatia!! Mimi binafsi nchi nayoionaga yenye muelekeo, ni SOuth Korea. Huwezi lete mara mi kitu furani, mara mi rais.

Kwa hiyo, jambo hili hili la viongozi majirani, rangi moja, kutoaminiana, kutoheshimiana, ndo linalowapa mwanya wakoloni.
Hivi, mfano ukiangalia kama rais wa Nigeria, kwa umri ule, alikuwa mtu wa kuamuru jeshi livamie nchi jirani, watu wauawe?
 
KOSA KUBWA ALILOFANYA MUNGU (KAMA YUPO ANYWAY) NI KUMUUMBA MWAFRIKA
Msiwe wepesi wa kukufuru midomoni mwenu.

Kila kitu na kila jambo duniani lina maana kwake Muumba.

Hauwezikupata jibu kwa kujiuliza, kwenye mbuga kwanini waliumbwa simba katikati ya swala?

Haujiulizi kwanini sehemu kuna neema na sehemu kuna ukame?

Kwa nini kuna tajiri na masikini katika jiografia moja?

Kwa nini haujiulizi kuna masika na kiangazi nk nk.

Kitu chochode dhalili, kina manufaa katika eneo jingine.
 
Simple, forces of nature, and this put the existence of God in question!
 
Viongozi wa Africa hawana uwezo wa kutatua migogoro ama ya kwao au ya watu wengine...kwa mfano unaijua kabisa kazi ya AU?
Sio kweli,ni migogoro mingi tu imetatuliwa na viongozi wa Kiafrika.
 
Hicho kiti alistahili kukalia Martin Fayulu ila Kabila na tume yake ya Uchaguzi walifanya uhuni
Walifanya uhuni mkubwa sana kumpora ushindi Fayulu, na sasa wanaparurana wao kwa wao. Hadi Kabila kasema tatizo la DRC ni Tshisekedi na kwahiyo hata suluhisho atoe mwenyewe!
 
Kagame alivyomdharau raisi wa DRC, leo wanakutana meza moja. Anasema Tsekedi alikuwa anauza piza huko Belgium na kuendesha tax.
 
Kagame alivyomdharau raisi wa DRC, leo wanakutana meza moja. Anasema Tsekedi alikuwa anauza piza huko Belgium na kuendesha tax.
Khah! Kwani shida ni ipi? Hivi vitu mbona ni ukweli! Search historia yake huo ni ukweli. Madaraka yake ni ile tu kwa sababu baba yako alikuwa rais, ngoja na kijana wake tumpe.
 
Back
Top Bottom